Kwahiyo na walimu wako waliokufundisha walifeli?acha dharau usidharau kazi ya MTU,wanao watafundishwa na haohao walimu.acha mambo yako ya kipuuzi,mshukuru Mungu kwa kuwa familia yako ya kitajiri mpendwa.waombe radhi walimu wote,mungu hapendi dharau,bz kila MTU alipewa kipaji chake be carefully