Walimu karibu wote uwezo mdogo

Walimu karibu wote uwezo mdogo

Madaktari na waalimu wengi wameenda huko ili wapate full sponsorship
Waalimu wengi ni failures wa form four
AHSANTE JAMII FORUM INA TATATIBU VINGINEVYO LILE TUSI ZITO KUWAHI KUTOLEWA HUMU LINGEKUHUSU .HATA HIVYO LINAKUHUSU.!
 
Kama walimu wote ni wale waliofeli na bado wakawa na uwezo wa kukufundisha wewe na ukafaulu na bado unayatumia maarifa ya waliofeli ili kuishi na unaishi vizuri tu. Huoni kuwa unaukata mkono unaokulisha? Au wao walichangia kufeli kwako lakini walifaulu kukufundisha kutumia keypads kuharisha hapa. Wakati mwingine walaumu na wazazi wako kwa kukuzaa kilaza.
 
Duh na division One yangu nikonayo hapa DUCE halafu unasema hatuna uwezo. astakhafilulah pengine ungefanya utafiti kwa nini watu wameenda kusoma ualimu.
 
Habari wanajamvi,
Narudi tena kwa ajili ya mada hii ya Elimu kwani niliweka mada ihusuyo waalimu kuwa na uelewa mdogo watu wakanishambulia ila ukweli unabaki pale pale.

Niende kwenye mada, binafsi nimesoma miaka ya nyuma kidogo ingawa sio mbali sana ila kama miaka kumi iliyopita ila miaka inavyozidi kusonga ndio Tanzania inazidi kuzalisha wasomi vilaza. Nikiangalia miaka ya nyuma nikisoma hakukuwa na shule za kata hivyo shule za serikali zilikuwa chache na za kugombania ninashukuru Mungu nilikuwa miongoni mwa wachache waliogombania shule za serikali na kufaulu na kusonga mbele mpaka chuo. Lengo langu sio kukashifu wale waliofeli la hasha msininukuu vibaya ila ninajikita kwenye mfumo mbovu wa elimu yetu ya Tanzania.

Miaka ya nyuma mwanafunzi alikuwa akipata four hata yenye credit mbili basi alikuwa akirudia mitihani na kuitafuta credit ya kumuwezesha kusonga mbele..sikuwahi kusikia ambaye alikimbilia kusoma certificate, hapa naongea kwakuwa wote niliowajua walirudia mitihani na kulikuwa na centers nyingi za watu wanaorisit tofaut na sasa wanaorisit ni wale waliopiga sifuri kabisa au four mbaya kabisa.

Elimu imerahisishwa kiasi kwamba mwanafunzi aliyepiga hata four ya 32 na D zake 3 anakimbilia kusoma certificate na sio kurisit. Kuna ujuzi mzuri sana kwa waliofika form six tofauti na failures waliokimbilia certificate, Elimu haina dhamani sababu ya vilaza hawa (mtanisamehe kwa kauli hii).

Nadhani kuna haja ya kufuta certificate katika vyuo vyote na kufanya wanafunzi wapate wasaha wa kujituma kama zamani, siku hizi imekuwa kawaida mtoto kapiga four yupo mtaani hana hata wasiwasi wala hajutii kufeli kwake kwa kigezo anaenda kusoma chuo certificate. Ingeondolewa certificate na kubaki na diploma tu ambapo wale wanaomaliza form six ambao hawajafikia viwango vya degree ndio wakasome diploma na kwa namna hiyo Elimu yetu ingeleta tija.

Failure hawa ndio baada ya kumaliza chuo hawana lolote kichwani wanaishia kumwaga lawama serikalini kwa kukosa ajira ila ingekuwa kama zamani basi mwanafunzi anayemaliza chuo degree kwanza anaheshimika na ubongo unafanya kazi vilivyo.

Vilaza wengi tulio nao mitaani wengi waliunga unga na kufikia degree na kwakuwa kwao Elimu ni rahisi na inanunulika tu ndio wameishia lawamani kwa serikali.

Hivyo binafsi sioni umuhimu wa Elimu bure mpaka kidato cha nne iwapo bado tunazidi kuzalisha vilaza wasio na mission wala vision... Rejea Elimu ya zamani utakubaliana na Mimi nikisemacho.

Nakumbuka kuna Ndugu mmoja miaka ile alirisit mara tano kutafuta credit tatu ili asonge mbele lakini matokeo yake ya awali hayakuwa mabaya alipata four ya 30 jambo ambalo ingekuwa leo asingejisumbua kurisit bali angeingia certificate moja kwa moja.

Tunaweza kujihesabia kwamba wasomi Tanzania wamekuwa wengi kwa kigezo cha walio na degree ila uhalisia wengi wao ni vilaza kabisa. Kuna haja ya mtaala wetu wa Elimu kufanyiwa marekebisho upya la sivyo kelele hizi hazitaisha kamwe. Wizara ya Elimu kwa kushirikiana na mashirika ya Elimu yana haja ya kufanyia marekebisho ama kupandisha points za certificate na kuwabana wanaoingia huko au kuondoa kabisa certificate, haiwezekani kilaza mwenye D mbili akaenda chuo kisha baadae anasimama na kusema nina degree ilihali hamna kitu chochote kichwani.

Ni maoni yangu kama mtanzania ambaye sipendezwi na mtaala mbovu wa Elimu yetu ya Tanzania..
Asanteni kwa kusoma.
 
[QBasi cpt, post: 15584867, member: 23719"]Nina two ya PCM tena ya 2007, na sasa ni mwalimu wa mathematics. Kama unabisha sema tuweke dau.

Unatumia vigezo gani kupima umasikini? Kingine unachotakiwa kujua, hauhitaji degree, masters au Phd ili uwe na mafanikio ya juu maishani kwako. Kujua kusoma, kuandika na kuhesabu kunakutosha sana kama ubongo wako unafanya kazi. Kuna jamaa nilisoma nae shule ya msingi na hakubahatika kwenda sekondari. Mzee wake alikua ni fundi (carpenter) hivyo jamaa akaanzia hapo, nilikutana nae mwaka jana dar kwa kweli ili nimkute kimaendeleo labda afilisike sana.
 
Habari wanajamvi?

Ashakum sio matusi ila leo nimeamua kuleta mada hii baada ya kufanyia utafiti binafsi kwa muda hivi.Kwanza nilianza kuambiwa na rafiki yangu enzi hizo 2012 pale UDBS kwamba asilimia kubwa kama sio wote waalimu uwezo wao ni mdogo upstairs nikakataa akanitaka nifanye utafiti binafsi.

- Walimu wengi kama sio wote hawakupenda kuwa waalimu ila ufaulu wao ndio ulipelekea wakose option na kujikuta kwa shingo upande wanadumbukia kwenye fani ya ualimu bila kupenda.

-Asilimia kubwa ya walimu hawakupenda kwenda ualimu ila ukiachilia mbali ufaulu kuwa hafifu pia urahisi wa kuajiriwa, hii inatokana na ajira kuwa ngumu hivyo wengi kukimbilia ualimu ili kutatua matatizo yao ya ajira.

-Uchumi mbovu umepelekea wengi kuishia kuwa waalimu, hapa nina maana zile familia ambazo hazina uwezo wa kumlipia mwanafunzi kusoma kitu anachokipenda hivyo kujikuta akisoma ualimu ili apate ufadhili wa serikali.

Naomba nisieleweke vibaya ila jaribu kufuatilia kwa umakini uje unaimbie mwanafunzi aliyepata division one nzuri kabisa akawa mwalimu, asilimia kubwa ya waalimu ni waliosoma arts au biashara kwakuwa wengi matokeo yao hayakuridhisha hatimaye option pekee ikawa ualimu.

Waalimu wengi wa science walifeli hapa naomba uniletee mwalimu ambaye ama alisoma PCM, PCB, PGM n.k akapata divion one au two akaenda kusoma ualimu? Wanaokuwa waalimu wengi huangukia kwenye point ya ufaulu mbovu darasani na ni wachache sana huangukia kuwa waalimu sababu ya uchumi wa familia ila wengi saaana walifeli.

Hata kama walijiendeleza na kuwa na masters still ukirudi nyuma utakuwa wengi walifeli, ndio maana nikasema asilimia kubwa kama sio wote uwezo wao ni mdogo.
Kumbe kigezo cha uwezo mkubwa ni ufaulu wa juu...?
Kweli tuna kazi nchi hii...
 
  • Thanks
Reactions: cpt

I am sorry to have to say this, but you have some inferiority complex and you are insecure. It sounds strange, eh? Just think about it. Allow me to indulge in a little psychoanalysis. Kwa nini unahitaji kuwa-put down watu wengine katika kazi zao ambazo ni muhimu sana? Kwa sababu una inferiority complex, unajiona uko chini nawe unatafuta wengine, ili nawe uonekane uko juu. Come to think of it, nadhani umejinyanyasa kwa kuona kwamba umeshindwa kuwa engineer au daktari au profession nyingine ambayo umeiona iko juu. Ukaona nawe utafute wa chini yako.
Jitahidi furaha yako isitegemee kuwadharau watu wengine. Fanya vitu vyako kwa maisha yako na familia yako. Wengine kama walipata zero wakaingia kwenye kazi ambayo wewe haikuimpress, si juu yako. Ni kama vile nyumba unayoishi wewe, mimi siijui. Sina sababu nzuri ya kuiponda, unakusitiri wewe. Grow up!
 
So what? kigezo cha kufaulu ni nini? kupata division one, two, three au four? Kusomea udaktari, uinjinia, nk ndiyo kufauru na kuwa na maisha mazuri? kusomea ualimu, ugavi, ugani nk ndiyo kufeli na kuwa na maisha mabovu? je wale wanafunzi wanapata divsion one, two , three nk wanafundishwa na nani? je wote tunaweza kuwa walimu, madaktri nk. Tafakari ki great thinker
Kuna mada zingine hazina tija katika dunia ya leo zimekaa ki stress stress tu
 
Mimi nimemaliza 2003 na nina 2 ya 10 advance mwenzangu mdada mwenye 3 alienda law lakini engineering waliniacha acha uongo bhana!
 
mleta post unachuki binafsi na WALIMU.
Si kweli kwamba walimu wengi au karibia wote ni failures za 4m 6 or 4m 4.Ninamarafiki na ndugu zangu wengi tu wamesomea ualimu wakiwa na division 1 points 7,8,9. za 4m 6.Hivyo kwenye kigezo cha ufaulu mdogo nakupinga hata kwa mtutu wa bunduki.

Nakubaliana na wewe kwenye kigezo cha sponsorship ya loan board, na ajira ya kutumainika; Hivyo tu basi.
 
Habari wanajamvi?

Ashakum sio matusi ila leo nimeamua kuleta mada hii baada ya kufanyia utafiti binafsi kwa muda hivi.Kwanza nilianza kuambiwa na rafiki yangu enzi hizo 2012 pale UDBS kwamba asilimia kubwa kama sio wote waalimu uwezo wao ni mdogo upstairs nikakataa akanitaka nifanye utafiti binafsi.

- Walimu wengi kama sio wote hawakupenda kuwa waalimu ila ufaulu wao ndio ulipelekea wakose option na kujikuta kwa shingo upande wanadumbukia kwenye fani ya ualimu bila kupenda.

-Asilimia kubwa ya walimu hawakupenda kwenda ualimu ila ukiachilia mbali ufaulu kuwa hafifu pia urahisi wa kuajiriwa, hii inatokana na ajira kuwa ngumu hivyo wengi kukimbilia ualimu ili kutatua matatizo yao ya ajira.

-Uchumi mbovu umepelekea wengi kuishia kuwa waalimu, hapa nina maana zile familia ambazo hazina uwezo wa kumlipia mwanafunzi kusoma kitu anachokipenda hivyo kujikuta akisoma ualimu ili apate ufadhili wa serikali.

Naomba nisieleweke vibaya ila jaribu kufuatilia kwa umakini uje unaimbie mwanafunzi aliyepata division one nzuri kabisa akawa mwalimu, asilimia kubwa ya waalimu ni waliosoma arts au biashara kwakuwa wengi matokeo yao hayakuridhisha hatimaye option pekee ikawa ualimu.

Waalimu wengi wa science walifeli hapa naomba uniletee mwalimu ambaye ama alisoma PCM, PCB, PGM n.k akapata divion one au two akaenda kusoma ualimu? Wanaokuwa waalimu wengi huangukia kwenye point ya ufaulu mbovu darasani na ni wachache sana huangukia kuwa waalimu sababu ya uchumi wa familia ila wengi saaana walifeli.

Hata kama walijiendeleza na kuwa na masters still ukirudi nyuma utakuwa wengi walifeli, ndio maana nikasema asilimia kubwa kama sio wote uwezo wao ni mdogo.
Kufaulu masomo na kufaulu maisha ni mambo mawili tofauti ni sawa na tofauti kati ya usiku na mchana,,,kuna tofauti pia kati ya kwenda shule na kuelimika,,,pia elimu haipatikani darasani tu,ila kumbuka pia walimu ni viongozi wazuri sana...fanya utafiti kisha ulete mrejesho.
 
Jaman msishangae kuona post kama hizo,watu wana stress za maisha baada ya chuo,so jamaa anapunguza stress;

Kwa fact ambazo ziko wazi na ztadumu kuwa hivo ni kuwa UDSM inachukua div 1&2 pekee kwa B.A education na div 1,2,3 kwa B.S education,na hao wote lazma awe na Credit 5 za o'level,yaan C tano ktk ufaulu wake wa o'level.

Hivyo basi endeeni kpunguza stress za PSPA
 
Mkuu wewe unasoma? au ulisoma? Division 3 asome law yaani LLB? Mimi sijasoma hiyo law, masomo yangu ni ya sayansi na nimesoma miaka ya nyuma, lakini competition iliyopo kwenye hiyo LLB hasa kwa vyuo vinavyotambulika kama University of Dar es salaam sidhani. Labda inawezekana maana siku hizi vyuo vimekua kila mahala, vingine hata kwenye magodown ya bia. Tuseme ukweli tu, education entry points zake ni za chini ukilinganisha na kozi zingine.

Kitu nimekiona watu hata pale kwenye ukweli ulio wazi kabisa hawataki kukubali kwa sababu tu mtu yuko upande huo. Kila kitu kimekua ni siasa, mtu akiambiwa chama chake kina mapungufu hata umshikie bastola hawezi kukubali. Hivi kweli mtu anaweza kukataa kwamba ualimu ni kozi inayochukua wenye ufaulu mdogo? Najua utamaduni wa kukipenda chako ni muhimu, lakini pale unaposemwa ukweli watu wakubali. Hivi kuna uele ualimu wa grade III yaani baada ya form 4 mtu anaenda kusoma chuo cha ualimu aje afundishe primary (nasikia wameiondoa hiyo kitu au wanampango wa kuindoa), mtu aliyepata Division one atakwenda kusoma kweli hiyo UALIMU DARAJA LA III?
Mkuu wewe ndo nikuulize umesoma kweli..??? Nikuulize tena umesoma kweli??? Kwa taarifa yako hata division 3 wanasoma law na nina my friend alipata division 3 kasoma law pale tena chuo kikubwa mzumbe na nime screenshot min.entry qualification kwa law pale mzumbe ili uone.........alafu tunajua kutokana na vigezo serikali yetu iliyoviweka mtu inatakiwa awe na elimu ngazi ya cheti ili akafundishe level ya primary sasa wewe ndo uniambie katika ngazi ya cheti ni kada gani inayochukua ufaulu mkubwa kuliko kada nyingine zote???? And nimesema kuna mtu amesoma pcb ana division 2 anasoma science education udsm na kuna mtu ana 3 pcb anasoma udaktari or course nyingine ya afya kampala university or st john or imtu or hubert kairuki..sasa wewe ndo uniambie hapo nani mwenye uwezo na ufaulu mdogo and ukija mtaani kwa watu wasiojua ni nani kati ya huyo daktari na mwalimu ataonekana mwenye ufaulu mkubwa.......and niambie sasa wewe ni kada gani ambayo wewe unadhani inachukua ufaulu mkubwa ngazi ya degree na hiyo kada mtu mwenye 3 hawezi soma na kuigusa kabisa...nijibu hayo maswali yangu kwanza.
 
Attachments

  • Screenshot_2016-03-16-17-17-19.png
    Screenshot_2016-03-16-17-17-19.png
    47.5 KB · Views: 43
Habari wanajamvi?

Ashakum sio matusi ila leo nimeamua kuleta mada hii baada ya kufanyia utafiti binafsi kwa muda hivi.Kwanza nilianza kuambiwa na rafiki yangu enzi hizo 2012 pale UDBS kwamba asilimia kubwa kama sio wote waalimu uwezo wao ni mdogo upstairs nikakataa akanitaka nifanye utafiti binafsi.

- Walimu wengi kama sio wote hawakupenda kuwa waalimu ila ufaulu wao ndio ulipelekea wakose option na kujikuta kwa shingo upande wanadumbukia kwenye fani ya ualimu bila kupenda.

-Asilimia kubwa ya walimu hawakupenda kwenda ualimu ila ukiachilia mbali ufaulu kuwa hafifu pia urahisi wa kuajiriwa, hii inatokana na ajira kuwa ngumu hivyo wengi kukimbilia ualimu ili kutatua matatizo yao ya ajira.

-Uchumi mbovu umepelekea wengi kuishia kuwa waalimu, hapa nina maana zile familia ambazo hazina uwezo wa kumlipia mwanafunzi kusoma kitu anachokipenda hivyo kujikuta akisoma ualimu ili apate ufadhili wa serikali.

Naomba nisieleweke vibaya ila jaribu kufuatilia kwa umakini uje unaimbie mwanafunzi aliyepata division one nzuri kabisa akawa mwalimu, asilimia kubwa ya waalimu ni waliosoma arts au biashara kwakuwa wengi matokeo yao hayakuridhisha hatimaye option pekee ikawa ualimu.

Waalimu wengi wa science walifeli hapa naomba uniletee mwalimu ambaye ama alisoma PCM, PCB, PGM n.k akapata divion one au two akaenda kusoma ualimu? Wanaokuwa waalimu wengi huangukia kwenye point ya ufaulu mbovu darasani na ni wachache sana huangukia kuwa waalimu sababu ya uchumi wa familia ila wengi saaana walifeli.

Hata kama walijiendeleza na kuwa na masters still ukirudi nyuma utakuwa wengi walifeli, ndio maana nikasema asilimia kubwa kama sio wote uwezo wao ni mdogo.

Uwezo mdogo kwa maana ipi maana ni kama sijaelewa? kila mtu ana uwezo mkubwa isipokuwa tatizo letu ni kupima uwezo wa mtu katika karatasi na si katika kutenda.
Walimu karibu wote wanaofundisha katika shule mbalimbali za chi kabisa na zile za juu kabisa wanao uwezo mkubwa sana tena wawe walipata sifuri au one.
Tatizo linalowakabili walimu wengi na kuwakatisha tamaa ni maslahi na mazingira duni ya kufanyia kazi.
Kama mshahara ni 270,000 kwa mfano ni nani mwenye division one atakimbila huko?
Let us be positive and crititical!
 
Habari wanajamvi,
Narudi tena kwa ajili ya mada hii ya Elimu kwani niliweka mada ihusuyo waalimu kuwa na uelewa mdogo watu wakanishambulia ila ukweli unabaki pale pale.

Niende kwenye mada, binafsi nimesoma miaka ya nyuma kidogo ingawa sio mbali sana ila kama miaka kumi iliyopita ila miaka inavyozidi kusonga ndio Tanzania inazidi kuzalisha wasomi vilaza. Nikiangalia miaka ya nyuma nikisoma hakukuwa na shule za kata hivyo shule za serikali zilikuwa chache na za kugombania ninashukuru Mungu nilikuwa miongoni mwa wachache waliogombania shule za serikali na kufaulu na kusonga mbele mpaka chuo. Lengo langu sio kukashifu wale waliofeli la hasha msininukuu vibaya ila ninajikita kwenye mfumo mbovu wa elimu yetu ya Tanzania.

Miaka ya nyuma mwanafunzi alikuwa akipata four hata yenye credit mbili basi alikuwa akirudia mitihani na kuitafuta credit ya kumuwezesha kusonga mbele..sikuwahi kusikia ambaye alikimbilia kusoma certificate, hapa naongea kwakuwa wote niliowajua walirudia mitihani na kulikuwa na centers nyingi za watu wanaorisit tofaut na sasa wanaorisit ni wale waliopiga sifuri kabisa au four mbaya kabisa.

Elimu imerahisishwa kiasi kwamba mwanafunzi aliyepiga hata four ya 32 na D zake 3 anakimbilia kusoma certificate na sio kurisit. Kuna ujuzi mzuri sana kwa waliofika form six tofauti na failures waliokimbilia certificate, Elimu haina dhamani sababu ya vilaza hawa (mtanisamehe kwa kauli hii).

Nadhani kuna haja ya kufuta certificate katika vyuo vyote na kufanya wanafunzi wapate wasaha wa kujituma kama zamani, siku hizi imekuwa kawaida mtoto kapiga four yupo mtaani hana hata wasiwasi wala hajutii kufeli kwake kwa kigezo anaenda kusoma chuo certificate. Ingeondolewa certificate na kubaki na diploma tu ambapo wale wanaomaliza form six ambao hawajafikia viwango vya degree ndio wakasome diploma na kwa namna hiyo Elimu yetu ingeleta tija.

Failure hawa ndio baada ya kumaliza chuo hawana lolote kichwani wanaishia kumwaga lawama serikalini kwa kukosa ajira ila ingekuwa kama zamani basi mwanafunzi anayemaliza chuo degree kwanza anaheshimika na ubongo unafanya kazi vilivyo.

Vilaza wengi tulio nao mitaani wengi waliunga unga na kufikia degree na kwakuwa kwao Elimu ni rahisi na inanunulika tu ndio wameishia lawamani kwa serikali.

Hivyo binafsi sioni umuhimu wa Elimu bure mpaka kidato cha nne iwapo bado tunazidi kuzalisha vilaza wasio na mission wala vision... Rejea Elimu ya zamani utakubaliana na Mimi nikisemacho.

Nakumbuka kuna Ndugu mmoja miaka ile alirisit mara tano kutafuta credit tatu ili asonge mbele lakini matokeo yake ya awali hayakuwa mabaya alipata four ya 30 jambo ambalo ingekuwa leo asingejisumbua kurisit bali angeingia certificate moja kwa moja.

Tunaweza kujihesabia kwamba wasomi Tanzania wamekuwa wengi kwa kigezo cha walio na degree ila uhalisia wengi wao ni vilaza kabisa. Kuna haja ya mtaala wetu wa Elimu kufanyiwa marekebisho upya la sivyo kelele hizi hazitaisha kamwe. Wizara ya Elimu kwa kushirikiana na mashirika ya Elimu yana haja ya kufanyia marekebisho ama kupandisha points za certificate na kuwabana wanaoingia huko au kuondoa kabisa certificate, haiwezekani kilaza mwenye D mbili akaenda chuo kisha baadae anasimama na kusema nina degree ilihali hamna kitu chochote kichwani.

Ni maoni yangu kama mtanzania ambaye sipendezwi na mtaala mbovu wa Elimu yetu ya Tanzania..
Asanteni kwa kusoma.
Mkuu wewe umesoma kada gani ambayo haina failure coz nimeangalia mitazamo yako huko juu unadai watu wengi wenye division 3 wanaosoma ualimu wewe unawaona ndo failure sasa nitajie kada or course gani ambayo haichukui 3...nakama hamna unawaitaje walimu failure...and taja wewe ulisoma course gani ambayo haina failure???
 
Habari wanajamvi?

Ashakum sio matusi ila leo nimeamua kuleta mada hii baada ya kufanyia utafiti binafsi kwa muda hivi.Kwanza nilianza kuambiwa na rafiki yangu enzi hizo 2012 pale UDBS kwamba asilimia kubwa kama sio wote waalimu uwezo wao ni mdogo upstairs nikakataa akanitaka nifanye utafiti binafsi.

- Walimu wengi kama sio wote hawakupenda kuwa waalimu ila ufaulu wao ndio ulipelekea wakose option na kujikuta kwa shingo upande wanadumbukia kwenye fani ya ualimu bila kupenda.

-Asilimia kubwa ya walimu hawakupenda kwenda ualimu ila ukiachilia mbali ufaulu kuwa hafifu pia urahisi wa kuajiriwa, hii inatokana na ajira kuwa ngumu hivyo wengi kukimbilia ualimu ili kutatua matatizo yao ya ajira.

-Uchumi mbovu umepelekea wengi kuishia kuwa waalimu, hapa nina maana zile familia ambazo hazina uwezo wa kumlipia mwanafunzi kusoma kitu anachokipenda hivyo kujikuta akisoma ualimu ili apate ufadhili wa serikali.

Naomba nisieleweke vibaya ila jaribu kufuatilia kwa umakini uje unaimbie mwanafunzi aliyepata division one nzuri kabisa akawa mwalimu, asilimia kubwa ya waalimu ni waliosoma arts au biashara kwakuwa wengi matokeo yao hayakuridhisha hatimaye option pekee ikawa ualimu.

Waalimu wengi wa science walifeli hapa naomba uniletee mwalimu ambaye ama alisoma PCM, PCB, PGM n.k akapata divion one au two akaenda kusoma ualimu? Wanaokuwa waalimu wengi huangukia kwenye point ya ufaulu mbovu darasani na ni wachache sana huangukia kuwa waalimu sababu ya uchumi wa familia ila wengi saaana walifeli.

Hata kama walijiendeleza na kuwa na masters still ukirudi nyuma utakuwa wengi walifeli, ndio maana nikasema asilimia kubwa kama sio wote uwezo wao ni mdogo.
Kufaulu masomo na kufaulu maisha ni mambo mawili tofauti ni sawa na tofauti kati ya usiku na mchana,,,kuna tofauti pia kati ya kwenda shule na kuelimika,,,pia elimu haipatikani darasani tu,ila kumbuka pia walimu ni viongozi wazuri sana...fanya utafiti kisha ulete mrejesho.
 
Mtoa mada umesema ukweli kabisa kwakua ulizaliwa unajua na kwakujua huko huo uwezo ws kusoma kutoka hujui mpk kujua ulishakua nao na ndio maana hayo umenena lakini cjajua ulifsnya tafiti kwa muda gani kiadi cha kuleta mawazo haya ILA nakushauri mheshimu sana mwl yoyote hata km ulimzidi mafanikio lkn alikufundisha yy mwisho acha ujinga hata uwe na akili vipi humzidi mama kwa muktadha huo mwl ni mama wakeup.
 
Sio kweli naongea jambo kwa fact udsm education watu wenye three wapo wengi sana na rafiki zangu waliofeli kipindi hicho walisoma pale...ili uweze kuingia DUCE au chuo chochote ualimu kwa vyuo vikubwa kama UDSM, DUCE, MUCE n.k unatakiwa uwe na point kuanzia 5 sasa point tano ni divion ngapi??? Kama S=0.5, E=1, D=2, C=3, B=4, A=5 hivyo point tano maana yake ni D D E ambazo ni point 5 ila ni divion Three point 13...mpaka hapo kuna swali ndugu?!
Sasa three point 13 kafeli huyo mtu? Mbona zipo fani nyingine engineering ambazo huwa wapo wenye hadi point 15, ushahidi upo mbona huwazungumzii hao, au ulishakariri walimu ndio waliofeli! Mimi nawaheshimu sana walimu, waheshimu pia wamekufunza hadi ukajua hata hili jukwaa, zipo fani nyingine ambapo ukiangalia wanaozisomea kwenye ngazi ya degree cut off point zao ni 2.5..
 
Back
Top Bottom