Walimu karibu wote uwezo mdogo

Walimu karibu wote uwezo mdogo

Kuwa mwalimu sio lazima hivyo vigezo vyako vitatu viwe ndio sababu, nilifika pale CONAS mwaka 2010 kumtembelea dada yangu, nikamkuta na kijana wakifanya discussion, nilishangaa kuambiwa yule kijana ndio tegemeo lao pale kwa sababu anajua sana, yaani olevel chalii katoka na 10 na advance pale Tanga school kachomoka na 4 PCM, sasa nikashanga kwanini asingeenda Tele au Computer engineering? Majibu yao wakaniambia chalii anautafuta umahiri wa Physics eti, chalii pale CONAS kachomoka na 4. 6 na akaunga Masters ya Physics na mwaka huu anaanza PhD yake, sasa hapo ndio utaona mipango ya mtu ndio kila kitu.
Binafsi nimesoma na mtu pale Faculty of arts na cha kushangaza alikuwa anasoma education nika doubt matokeo yake, ila jamaa alikuwa na 8 na mzee wake yupo njema kiuchumi kiasi kwamba alikuwa ana uwezo wa kwenda kusoma popote pale duniani.
 
daaah nikiona mtu anawadharau walimu roho inaniuma sana tena sana,uelewa wa mtu upo kichwani kwake na ata mtu akipata div 1:7 anaweza kuwa amekalili lakini kichwan kwake uelewa ni mdogo.
na mtu akifeli sio kwamba ana uelewa mdogo.kuna sababu nyingi zinazofanya watu wafeli.
nawapenda sana walimu nawapenda sana ata kama mwalimu amekuwa chizi nitampenda ata kama ana uelewa mdogo nitampenda tu.
kutoka shule ya msingi mpka sasa nimekuwa dokta hiyo yote ni kazi ya mwalimu,tuwaheshimu walimu tusianze kuwabeza,kuwadharau na kuwatukana.
Ahsante kwa kutuheshimu,mtu alikuja hajui hata herufi moja,anafundishwa na Mwl then anakuja anasema hatupo vizuri upstairs kweli??
 
Habari wanajamvi?

Ashakum sio matusi ila leo nimeamua kuleta mada hii baada ya kufanyia utafiti binafsi kwa muda hivi.Kwanza nilianza kuambiwa na rafiki yangu enzi hizo 2012 pale UDBS kwamba asilimia kubwa kama sio wote waalimu uwezo wao ni mdogo upstairs nikakataa akanitaka nifanye utafiti binafsi.

- Walimu wengi kama sio wote hawakupenda kuwa waalimu ila ufaulu wao ndio ulipelekea wakose option na kujikuta kwa shingo upande wanadumbukia kwenye fani ya ualimu bila kupenda.

Kwa hiyo impact yake ni nini? Ili tujifunze kutokana na research yako.
 
Asante kwa thread yako.. Ila kumbuka wenye uwezo mdogo walikufikisha chuo kikuu tena ukiwa umekabidhiwa kwao na wazazi wako wenye hali nzuri.
 
Huwezi kwenda universty yeyote kama hauna principle pass....sasa unaposema walimu wamefer kipind walikuwa na sifa.za kuchukua degree unamatatizo yako.....kaaa chini chunguza tena
 
Nina two ya PCM tena ya 2007, na sasa ni mwalimu wa mathematics. Kama unabisha sema tuweke dau.
Hongera sana mkuu,Mimi sio Mwalimu lkn ninawapenda sana na kuwaheshimu sana Walimu wote,Sijafurahishwa na dharau na kejeli za huyu mleta uzi,bora wewe umemtia aibu.
 
Nimeweka hapo awali ukifundishwa kupika haimainishi aliyekufundisha ataendelea kuwa zaidi yako, juhudi zako ndizo humfanya mtu ampite...mwalimu aliyenifundisha uwezo wake ndio uliishia pale ila kwa juhudi zangu nikampita...kwahiyo kama alimaliza form four akapiga four akapelekwa ualimu kisha akaja kufundisha shule ya msingi, mie mwanafunzi wake nikasonga mpaka chuo kikuu bado utasema mwalimu ni bright?! Asilimia kubwa ya waalimu uwezo upstairs ni mdogo
Na kingine mie sikusoma ualimu Bali nilisoma PSPA (Political Science and Public Administration)
Peleka mavi yako huko.... Ww unaweza kuwa unatokea bukoba
 
Hajielewi alietoa mada, ikiwa ni walimu hao hao ndio wamekufundisha mpaka leo unafkia kuwatuka,ndio unawaambia hawana kitu
 
Hajielewi alietoa mada, ikiwa ni walimu hao hao ndio wamekufundisha mpaka leo unafkia kuwatuka,ndio unawaambia hawana kitu
Ila mleta mada amesema kweli mkuu,hata tukikataa huu ndio ukweli wenyewe
 
hivi kufeli Tanzania kwa A level na O level ni kuanzia point ngap za daraja gn?
 
hivi kufeli Tanzania kwa A level na O level ni kuanzia point ngap za daraja gn?
Kwa majibu wa serikali ya Tanzania kufeli form four/six ni kumpata division 0, NB. Diploma ya Uhasibu Tanzania miaka mingi sana inasomwa na form four levers lakini dip ya ualimu ni lazima uwe na form six, hata use na certificate ya ualimu walikuwa hawakukubali bila kupiga pepa ya six, form six mwisho ilikuwa division III ya point 14 kumpata nafasi ya Dip ya ualimu mwaka 2002 vyuo vya serikali MF. Korogwe TC
 
Habari wanajamvi?

Ashakum sio matusi ila leo nimeamua kuleta mada hii baada ya kufanyia utafiti binafsi kwa muda hivi.Kwanza nilianza kuambiwa na rafiki yangu enzi hizo 2012 pale UDBS kwamba asilimia kubwa kama sio wote waalimu uwezo wao ni mdogo upstairs nikakataa akanitaka nifanye utafiti binafsi.

- Walimu wengi kama sio wote hawakupenda kuwa waalimu ila ufaulu wao ndio ulipelekea wakose option na kujikuta kwa shingo upande wanadumbukia kwenye fani ya ualimu bila kupenda.

-Asilimia kubwa ya walimu hawakupenda kwenda ualimu ila ukiachilia mbali ufaulu kuwa hafifu pia urahisi wa kuajiriwa, hii inatokana na ajira kuwa ngumu hivyo wengi kukimbilia ualimu ili kutatua matatizo yao ya ajira.

-Uchumi mbovu umepelekea wengi kuishia kuwa waalimu, hapa nina maana zile familia ambazo hazina uwezo wa kumlipia mwanafunzi kusoma kitu anachokipenda hivyo kujikuta akisoma ualimu ili apate ufadhili wa serikali.

Naomba nisieleweke vibaya ila jaribu kufuatilia kwa umakini uje unaimbie mwanafunzi aliyepata division one nzuri kabisa akawa mwalimu, asilimia kubwa ya waalimu ni waliosoma arts au biashara kwakuwa wengi matokeo yao hayakuridhisha hatimaye option pekee ikawa ualimu.

Waalimu wengi wa science walifeli hapa naomba uniletee mwalimu ambaye ama alisoma PCM, PCB, PGM n.k akapata divion one au two akaenda kusoma ualimu? Wanaokuwa waalimu wengi huangukia kwenye point ya ufaulu mbovu darasani na ni wachache sana huangukia kuwa waalimu sababu ya uchumi wa familia ila wengi saaana walifeli.

Hata kama walijiendeleza na kuwa na masters still ukirudi nyuma utakuwa wengi walifeli, ndio maana nikasema asilimia kubwa kama sio wote uwezo wao ni mdogo.
NB: Nyerere ni Mwl, sijui ulimaanisha walimu wa kada gani?
 
Kwa majibu wa serikali ya Tanzania kufeli form four/six ni kumpata division 0, NB. Diploma ya Uhasibu Tanzania miaka mingi sana inasomwa na form four levers lakini dip ya ualimu ni lazima uwe na form six, hata use na certificate ya ualimu walikuwa hawakukubali bila kupiga pepa ya six, form six mwisho ilikuwa division III ya point 14 kumpata nafasi ya Dip ya ualimu mwaka 2002 vyuo vya serikali MF. Korogwe TC
fine if so how hawa watu wanakuja kutudanganya hapa ualimu ni wa failures? bas watu wapate division zero wakasomee education sasa
 
Nimesoma udsm nna one ya 7,na jamaa zangu wote ni one au two.

Kama kuna mtu ana three kasoma udsm njoo na uthibitisho.

Acha uongo,labda vyuo vingine
 
fine if so how hawa watu wanakuja kutudanganya hapa ualimu ni wa failures? bas watu wapate division zero wakasomee education sasa
Hao wanaozungumza hivyo nadhani bado hawajayajua maisha enzi zile tukilatiwa namba na mwalimu Mrisho (Jesus) pure math halafu MTU shukrani Yale kwa walimu ndio hii.
 
Back
Top Bottom