mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,379
- 3,826
Ni vizuri ukafanya uchambuzi vizuri huko nyuma ni asiliia ndogo sana ya waliomaliza std vii walienda sekondari. napo waliingia kidato cha 5 ni wachache sana kati ya waliomaliza kidato cha 4. hivohivo walioenda chuo kikuu au duploma ni wachache sana ya walomaliza fm6.
conlusion. mtu yeyeti anayemakiza chuo kikuu au diploma c mjinga au dhaifu bila kujali anasomea kitu gani. maana mtu anakuwa amepita kwenye mchujo na kuwaacha wengi.
Mtoa mada waombe radhi walimu kwani pia ndio huwafundisha ma geneous