Walimu karibu wote uwezo mdogo

Walimu karibu wote uwezo mdogo

Unaongelea failure kwa failure mkuu...hata kama wanachukua point 27 ualimu still ni four...halafu upande wangu mwanafunzi yeyote ambaye kamaliza four akapiga four akakimbilia chuo huwa namuita Kilaza...ninaowaongelea ni wale wamemaliza form six wakaingia chuo wanaoenda ualimu upstairs ni wabovu...so tambua hao unaowaongelea wote uwezo mdogo...ni sawa na aliyemaliza form six akafeli na kupata principal moja akakimbilia diploma, so tambua point asilimia kubwa waalimu ni wabovu upstairs
And kama unaongelea waliomaliza form six then wakaenda ualimu ni wabovu..kuna vyuo kama kampala..,imtu,st john kuna watu wanaosomea udaktari na course nyingine za afya ambao ufaulu wao ni mdogo kuliko mtu aliyeenda kusomea science education university of dar es salaam..sasa hapo kati ya huyo mwalimu aliyesoma ud na daktari wa kampala university nani mwenye ufaulu na uwezo mdogo
 
Zipo nyingi tu mkuu. Mathalani kada ya sheria na teknologia ngazi ya cheti min. entry qualifications ni kubwa ukilinganisha na ualimu.
Mkuu unaweza kuniwekea hapa hizo min.entry qualification ngazi ya cheti kwa mtu wa sheria na technology na vyuo vinavyotoa hizo course na mimi nikuwekee hapa min.entry qualification kwa cheti ualimu na vyuo ili tufanye comparison wapi wanachukua ufaulu mdogo????
 
Owk kwa maelezo yako kumbe kuna mtu aliyesoma pcb anaweza kwenda kusoma udaktari kampala university or hubert kairuki wakati ufaulu wake ni mdogo kuliko mtu aliyesoma pcb na akaenda science education university of dar es salaam...sasa hapo kati ya huyo daktari na mwalimu nani mwenye ufaulu na uwezo mdogo????
Mkuu nilijua tu utauliza swali lako kwa namna hii!
Hapo ndo inaingia issue ya accreditation ya hicho chuo na TCU watahusika.
Ndo maana vyuo km KIU na IMTU si vya kupeleka kijana wako kama ww ni mtu wa viwango.
Ukitaka kulinganisha alama za udahili kwa wanafunzi wawili tofauti relay kwenye chuo kimoja.
 
Mtoa mada atuhabarishe yeye kwa sasa anafanya kazi gani tangu ahitimu chuo mwaka 2013 na hiyo pspa yake, na huo utafiti wake ulihusu sample ya walimu wangapi na aliifanyia ktk mikoa/wilaya ngapi? isije ikawa umelala umeamka na hilo wazo lako ukaliita utafiti badala ya kusema ni maoni yako!

Ktk maisha kama msomi siamini pia ktk suala zima la ku-generalize vitu. Eti asilimia kubwa ya walimu kama sio wote wana uwezo mdogo upstairs! haya ni matusi ya wazi zidi ya walimu wako. Wapo baadhi ya wachangiaji wenye mtazamo kama wako wamekuunga mkono. nao najua wana stress tu kama wewe unaezunguka na bahasha mwaka wa nne sasa. Kwangu mimi nakuona kama umekurupuka na huo utafiti wako wa kienyeji.

Nawashauri walimu wote wanaojiamini, waliofaulu vizuri na kufundisha wanafunzi wao kwa mafanikio makubwa wakupuuze.Kitendo cha kujibizana na wewe ni sawa na walimu hao kukimbizana na mtu wa pspa aliyewakuta wakioga mtoni halafu mtu huyo (wa pspa) akazichukua nguo zao na kuanza kutimua mbio. Msiendelee kumkimbiza mtaoneka nyinyi ndio yeye!!

PSPA!!???!!! nilichaguliwa course hiyo pale udsm mwaka 2005! within two weeks nilipata ushauri nasaha toka kwa wakubwa zangu walionitangulia nikawasikiliza na kuamua kujichukulia BAED yangu na hadi sasa naitendea haki kazi yangu.Wewe subiri wazee wastaafu halafu tuone watakuweka wewe uwe afisa utumishi au watawaunganisha watoto na watu wao wa karibu kwenye hiyo nafasi.

Vitoto vya siku hizi bhana!
 
Takataka,unaongea pumba tu hapa,hata tunaokusikiliza tunaonekana pumba vilevile
una wasemeaje watu walio wahi kuwa walimu, watu kama Hayati Mwl Nyerere, Rais Magufuri, na Waziri Mkuu, Mhesimiwa Majaliwa, ambao ni viongozi wa kuigwa,ukilinganisha na viongozi ambao hawakuwahi kuwa mwalimu na wanashindwa hata uongozi ulio tukuka
 
Kama ulinifuatilia vyema nilitoa sababu kadhaa za wengi kukimbilia ualimu...halafu pili wengi wanaomaliza kidato cha nne na kufeli wengi wabovu kichwani, tukubaliane hakuna kufeli kwa bahati mbaya au kufaulu kwa kubahatisha...hivyo basi hao wakishafeli ndio linakuja swala la familia kama lina uwezo wa kusimamia show mpaka amalize chuo kama hawawezi vilaza hawa hukimbilia udhamini wa wizara ya elimu na kupangiwa vyuo na hatimaye vilaza hawa humaliza na kusubiri kupangiwa shule kama wanavyosubiria kupangiwa wa sasa....
Hebu nijuze swala moja hivi iwapo mpo wawili mnasoma HKL halafu matokeo kutoka umefaulu na kupiga one ya tano na mwenzako akapiga three suppose ni 14 unadhani wewe utaenda kusoma education chuo?? Kama ni ndio basi linakuja swala la familia kwamba ukitaka kusoma law hutapata mkopo hivyo itakulazimu kusoma ualimu ila yule wa three hana option kwakuwa amefeli...kwahiyo tukubaliane waalimu wengi wabovu upstairs
anhaaa kama point yako ndo hiyo kwani ukipata three huwezi kusoma law.??
 
Mkuu unaweza kuniwekea hapa hizo min.entry qualification ngazi ya cheti kwa mtu wa sheria na technology na vyuo vinavyotoa hizo course na mimi nikuwekee hapa min.entry qualification kwa cheti ualimu na vyuo ili tufanye comparison wapi wanachukua ufaulu mdogo????
KIU vs MZUMBE. Na hapohapo usisahau umaarufu wa chuo hata kama minimum entry qualifications zipo sawa.
 
[QBasi cpt, post: 15584867, member: 23719"]Nina two ya PCM tena ya 2007, na sasa ni mwalimu wa mathematics. Kama unabisha sema tuweke dau.[/QUOTE]


Basi wewe ulizaliwa tu ili uje uwe maskini
 
Mkuu nilijua tu utauliza swali lako kwa namna hii!
Hapo ndo inaingia issue ya accreditation ya hicho chuo na TCU watahusika.
Ndo maana vyuo km KIU na IMTU si vya kupeleka kijana wako kama ww ni mtu wa viwango.
Ukitaka kulinganisha alama za udahili kwa wanafunzi wawili tofauti relay kwenye chuo kimoja.
So mkuu kumbe unakubaliana na mimi kuwa sio kila aliyesoma ualimu anauwezo na ufaulu mdogo kumbe kuna baadhi ya watu ambao wamesoma vitu vingine tofauti na ualimu ufaulu wao ni mdogo kuliko hao walimu and mtoa mada ye kuzungumzia hilo swala too general and kada zote zinawatu wenye ufaulu mdogo na mkubwa vilevile sema watu wamekuwa wakiuchukulia ualimu kama ndo wawatu waliofeli sababu walimu ndo kada ambayo inawatu wengi kuliko zote although kuna ukweli kuwa kwa kiasi fulani watu wengi waliosomea ualimu hawana ufaulu mkubwa sana but si wote
 
Acha uongo uliokubuhu kuna watu wana division 2 na 3 walichukua education bachelor pale udsm na ninawajua..... Ila pole naona uzi umekukwaza
Hayupo sahihi mimi nina two na nipo education hapahapa udsm
 
KIU vs MZUMBE. Na hapohapo usisahau umaarufu wa chuo hata kama minimum entry qualifications zipo sawa.
Mkuu nimeomba uniwekee min entry qualification na vyuo za hizo course ngazi ya cheti ambazo umedai wanachukua ufaulu mkubwa kuliko ualimu na mimi nitakuwekee hapa kwa upande wa ualimu ngazi ya cheti then mimi na wewe kwa pamoja tutafanya comparison ili tujue ni wapi wanapochukua ufaulu mkubwa
 
Nimeweka hapo awali ukifundishwa kupika haimainishi aliyekufundisha ataendelea kuwa zaidi yako, juhudi zako ndizo humfanya mtu ampite...mwalimu aliyenifundisha uwezo wake ndio uliishia pale ila kwa juhudi zangu nikampita...kwahiyo kama alimaliza form four akapiga four akapelekwa ualimu kisha akaja kufundisha shule ya msingi, mie mwanafunzi wake nikasonga mpaka chuo kikuu bado utasema mwalimu ni bright?! Asilimia kubwa ya waalimu uwezo upstairs ni mdogo
Na kingine mie sikusoma ualimu Bali nilisoma PSPA (Political Science and Public Administration)
Hahahhaaaaa hahahahahaaaaa uuwiiiiii!!!
 
KIU vs MZUMBE. Na hapohapo usisahau umaarufu wa chuo hata kama minimum entry qualifications zipo sawa.
Mkuu nimeamua nikuwekee sheria na upande wa technology ngazi ya cheti tena chuo cha mzumbe..je ufaulu huu ni mkubwa kuliko min entry qualificaon ngazi ya cheti ualimu????? Na kama ndo hivyo kwanini watu wawili mmoja ana cheti sheria mwingine anacheti ualimu ila mwenye cheti ualimu ndo anaonekana aliyefeli kuliko sheria?????
 

Attachments

  • Screenshot_2016-03-16-15-01-09.png
    Screenshot_2016-03-16-15-01-09.png
    67.4 KB · Views: 45
niliwahi kusema walimu wengi wa sasa ni wale wenye ufaulu mdogo kuna watu wakanishambulia lakini ni ukweli kwani wanaofaulu wengi hawataki kusomea ualimu lakini cha muhimu serikali iboreshe maslahi
 
Hata wewe pia uwezo wako Wa kufikiri ni mdogo....ungerekebisha kidogo kauli yako....mbona kuna walimu pale UDsm Wa div 1 halafu sio za kuunga unga kama zako..

Kama ulikuwa hujui jaribu kufanya uchunguzi katka idara zingne uone....

Mfano kuna bank teller mmoja nilisoma nae olevel....alipata four kama ya 28 hivi akagonga certificate mpka degree ....now ni teller ..sasa wewe unakurupuka kurupuka tu....JIELEWE BASI.
 
anhaaa kama point yako ndo hiyo kwani ukipata three huwezi kusoma law.??

Mkuu wewe unasoma? au ulisoma? Division 3 asome law yaani LLB? Mimi sijasoma hiyo law, masomo yangu ni ya sayansi na nimesoma miaka ya nyuma, lakini competition iliyopo kwenye hiyo LLB hasa kwa vyuo vinavyotambulika kama University of Dar es salaam sidhani. Labda inawezekana maana siku hizi vyuo vimekua kila mahala, vingine hata kwenye magodown ya bia. Tuseme ukweli tu, education entry points zake ni za chini ukilinganisha na kozi zingine.

Kitu nimekiona watu hata pale kwenye ukweli ulio wazi kabisa hawataki kukubali kwa sababu tu mtu yuko upande huo. Kila kitu kimekua ni siasa, mtu akiambiwa chama chake kina mapungufu hata umshikie bastola hawezi kukubali. Hivi kweli mtu anaweza kukataa kwamba ualimu ni kozi inayochukua wenye ufaulu mdogo? Najua utamaduni wa kukipenda chako ni muhimu, lakini pale unaposemwa ukweli watu wakubali. Hivi kuna uele ualimu wa grade III yaani baada ya form 4 mtu anaenda kusoma chuo cha ualimu aje afundishe primary (nasikia wameiondoa hiyo kitu au wanampango wa kuindoa), mtu aliyepata Division one atakwenda kusoma kweli hiyo UALIMU DARAJA LA III?
 
Sio kweli naongea jambo kwa fact udsm education watu wenye three wapo wengi sana na rafiki zangu waliofeli kipindi hicho walisoma pale...ili uweze kuingia DUCE au chuo chochote ualimu kwa vyuo vikubwa kama UDSM, DUCE, MUCE n.k unatakiwa uwe na point kuanzia 5 sasa point tano ni divion ngapi??? Kama S=0.5, E=1, D=2, C=3, B=4, A=5 hivyo point tano maana yake ni D D E ambazo ni point 5 ila ni divion Three point 13...mpaka hapo kuna swali ndugu?!
Ww fani yako nini mhe. Na hivi kufeli ni kupata div III? We ulipata Div 1 ya point ngapi?
 
Ninachojua mm waaalim walionifundisha wako smart ndio maana nikafaulu mpaka kufika ngazi ya Degree.Pamoja na kujisomea mwenyewe lakini input ya mwl ni kubwa bado ndio maana huwezi kumnunulia mwanao vitabu halafu akae tu nyumbani ajisomee kisha akafanye mtihani.
Only stupid lousy thinkers insult teachers.
 
Back
Top Bottom