Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,267
- 5,854
Ukiona watu Tanzania wanafauli wanaitwa Tanzania one, jua kuna walimu unaoita wamefeli wame transfer knowledge. Fact one
Fact two. Ukiwa na D nne na F tatu ni div 4 ya point 31 chuo chochote cha fani zote utaenda isipokuwa ualimu
Ualimi ndio wana grade za juu kuliko course zote.
Nenda cheti cha sheria, human resources, uhasibu na koye huko D nne na mistari ya F unakuwa admited ila ualimu bila three ya 25 huendi hata kwa dawa. Hata zamani cut point ilikuwa four 28. Mleta mada rudi ukajifikirie wenzio wapo kazini roho inakuuma na vyeti vyako unasaga kiatu