Hahahahahaha two ya 2007 ni sawa na ONE ya 5 ya miaka mingineNina two ya PCM tena ya 2007, na sasa ni mwalimu wa mathematics. Kama unabisha sema tuweke dau.
Hahahahahaha two ya 2007 ni sawa na ONE ya 5 ya miaka mingineNina two ya PCM tena ya 2007, na sasa ni mwalimu wa mathematics. Kama unabisha sema tuweke dau.
Walimu wengi wanaoangukia kwenye maelezo ya mleta mada watapinga. Ni kweli kuwa kuna walimu wako vizuri sana ila ni kweli pia sababu mojawapo ya elimu yetu kuwa mbovu sana katika kipindi hiki ni idadi kubwa ya walimu wenye kiwango kidogo sana wanaofundisha watoto wetu. Ukiwaambia wakali kama pilipili wakati ni kawaida kila siku kusikia mitaani kauli kama "mwanangu itabidi uende ualimu tu maana mimi sina uwezo wa kulipia hizo kozi nyingine"Nimekukubali, umeandika vizuri sana mkuu. Kama ni baadhi maana yake si wote, sasa yule ambaye anaona hayuko kwenye category ya ufaulu hafifu maana yake haangukii kwenye mada hii.
Acha kupaniki mkuu chuo hawafundi walimu, wanaitwa wakufunzi.Kwahiyo hata walimu wako waliokufundisha huko chuo ni miongoni mwa waliofeli sasa were utakuaje na akili wakati waliokufundisha walifeli? Kuku wewe
Acha kupaniki mkuu chuo hawafundi walimu, wanaitwa wakufunzi.
Hivi vile tunavyoambiwa ni "vyuo vya ualimu" kama "Kleruu Teachers college" au "Marangu Teachers college" au "Ekenford Teachers college" nk, mbona haviitwi vyuo vya wakufunzi?
Kwani mkuu tunapoongelea walimu tume-specify walimu wa level gani? Hapa walimu wanaoongelewa ni walimu wote, yaani walimu wa kufundisha Primary school, Secondary school (O-level na A-level). Wewe unazungumzia walimu gani mkuu? Au wewe ni mkufunzi wa chuo?Kwa sababu wanaoenda pale wanakwenda kufundishwa ualimu ili wakafundishe shule za msingi. Mkuu hili nalo ni swali la kuuliza?!!
Nilipohitimu kidato cha sita nilipata alama 7 katika "TAHASUSI" yaani Combination ya masomo niliyosomea. Niliamua kwenda kusomea ualimu kwani ndio niliona ni chaguo langu sahihi. Ninafurahia kuwa Mwalimu. But utafiti wako una makengeza pamoja na yule aliyekupa hizo habari kwanza.
NAKUUNGA MKONO HUYU NDUGU ANAONGE PUMBA KWELI. WALIMU NDIO THE BEST BRAINS ISIPOKUWA HAWAPO PLACED MAHALI WANAPOWEZA KUSIKIKIKA NDIO MAANA WATU WENGI WANAFIKIRIA WALIMU NI WAJINGA WAJINGA TU. YEYE HUYO ANAYEBWABWAJA HAPO KAFUNDISHWA NA MWALIMU HUYO HUYO ANAYEMDHARAU. CHUNGA HESHIMA ZAKO JAMAA. WAJINGA WOTE MKO HUKO MAOFISINI KUSHUGHULIKA NA MAJALADA KAMA MAROBOT NA HAMMTUMII AKILI ZOZOTE NA KWANZA HAMNNA HIZO AKILI. MMEJAA USWAHILI TU WA KUPIGA MADILI. SASA MAAGU AMEWAKALIA KOONI MADILI NDIO BASI TENA. BADALA YA KUFIKIRIA MAENDELEO YA NCHI MNAFIKIRIA NAMNA YA KUPIGA MADILI.Takataka,unaongea pumba tu hapa,hata tunaokusikiliza tunaonekana pumba vilevile
Kumbuka utaratibu wa kupata wakufunzi wa chuo ambao wewe ungependa kuwaita waalimu sio sawa na huu wa kupata walimu wa shule za msingi na sekondari, kwa hiyo huwezi kuwaweka kundi moja. Hata hivyo mimi sio mkufunzi wa chuo ingawa nikitaka kuwa mkufunzi hata kesho nawezaKwani mkuu tunapoongelea walimu tume-specify walimu wa level gani? Hapa walimu wanaoongelewa ni walimu wote, yaani walimu wa kufundisha Primary school, Secondary school (O-level na A-level). Wewe unazungumzia walimu gani mkuu? Au wewe ni mkufunzi wa chuo?
Kama kweli umeenda shule wewe ni mshamba bado na yawezekana nyie ndo wale wenye vyeti feki hamjitambui inabidi mfatiliwe.Hahahaha wewe kweli mbulula wa mwisho, ningekuwa sijamaliza la saba ningebeza walionizidi??? Daima mtu hubeza aliyempita na sio aliyepitwa nae... rudia kusoma mada utaelewa hivyo Nadhani wewe ndio hujagusa kabisa na kukurupuka kwako kijinga....
Ila mwaka 2010 hapo hapo UDSM kuna jamaa alikuwa na one ya 5 na akawa anasoma education. Saa nyingine ualimu ni mapenzi ya mtu ila ni wachacheAcha uongo uliokubuhu kuna watu wana division 2 na 3 walichukua education bachelor pale udsm na ninawajua..... Ila pole naona uzi umekukwaza