Walimu karibu wote uwezo mdogo

Walimu karibu wote uwezo mdogo

Ofcoz true kbs, uoga wa ajira, kufeli na umaskini ni factor general kuwa mwalimu.

Najuuuuutaa kua mwalimu, afu post hiz hua mnatukatisha sana tamaa nyie vijana! Ndio mana wengine wanaishia kuchanganyikiwa na kugegeda tu madent
 
Mtoa mada ameshambuliwa sana lakini yuko sahihi.Nadhani sababu kubwa ni kwamba amegusa waalimu wengi humu JF.Ila mada yake ina ukweli 100%.Sisi tunaoishi na waalimu karibu tunaujua ukweli huu.Mtabaki mnatetea lakini ukweli utabaki pale pale.Waalimu wengi uwezo wao ni mdogo na hii ni sababu moja wapo inayochangia kuzorota kwa elimu yetu nchini.The quality of most of our teachers is extremely low.Something drastic needs to be done.
Kweli kbs, ukiwa mwalimu bwana lazima uwe majeruhi wa kitu fulani hasa kwa vijana wa rika la kati wa sasa (24-45)
 
Wapo waalimu wengi sana wenye divisio 1 mpaka 2 wanao fundisha mashuleni!!! Tembelea shule hizo na omba kupitia mafile hasa secondari za O level na A level!!! Utashangaaa!!! Na nakupa nahii baada ya miaka 3 ijayo waalimu wengi vijana unao waona sasa ivi hawa wa sekondari asilimia kubwa watakua ni masters holders na kuendelea!!!


Wengi wapo wanafundisha huku wana soma masters zao na wengine sasa hiv wako na PHD!
Ukiona hivyo basi factor ya 'uchumi' ilihusika hapo mkuu. Unaeza kua na div 1 lakini no uwezo wa kupata mkopo (mostly ni masomo ya art), so inabidi tu uende mkondo usiotaka.
 
Kweli kbs, ukiwa mwalimu bwana lazima uwe majeruhi wa kitu fulani hasa kwa vijana wa rika la kati wa sasa (24-45)
Mmhh! 45 ni kijana?...Japo sio wote walimu wako hivyo ila ni asilimia kubwa....nina rafiki yangu o level alioiga 111 pt 18 baada ya kupigwa penat ya math.akachaguliwa advance kusoma hgl japo lengo lake lilikuwa pcb ,huko akatoka na div 1.8 akaomba chuo kipindi hakuna tcu ni application directly vhuo unachotaka kusoma,....akapata Duce education na sasa ana masters ya MBA japo bado ni mwalimu.
 
Niliposema vile nilikuwa namainisha kama niluvyofafanua..niwape mifano michache
Baba yangu mkubwa alikuwa mwalimu, ana watoto kumi na moja mmoja tu ndio sio mwalimu, kumi wote ni waalimu na matokeo yao yote nayafahamu yalikuwa hafifu...kwa Baba yangu tupo 14 hakuna mwalimu hata mmoja sababu ya ufaulu pia ila mama yangu pia alikuwa mwalimu pale forodhani ila maendeleo yake ya shuleni niliyadaka toka kwa Baba...rafiki zangu wengi niliosoma nao primary, O'level, A'level wakaangukia pua wengi ni waalimu sasa hivi wamesambaa kila mkoa na uzuri ninapokuwa naenda mikoani kwa shughuli zangu huwa nafikia kwa baadhi ya waalimu hao..vijana wengi mtaani nimewaona tangu zamani ambao wamekuwa waalimu na matokeo yao mabovu.
Nilikuwa na demu mmoja hivi Chotara alimaliza form four akapiga four 27 kwakuwa familia haikuwa na uwezo ikamlazimu aombe udhamini wa wizara akasoma pale Mpwapwa sasa hivi ni mwalimu ingawa anapenda sana kuwa mtangazaji na anatarajia kusomea utangazaji...
Kuna wengi sana ambao nimekumbana nao na kujiridhisha kabla sijaja kuweka uzi huu...
 
We mtoa post hilo swala la kusema walimu ni watu waliofail nadhan hujafanya utafit wa kutosha,,ila naweza sema umekurupuka....

Kitu ambacho ungepaswa kutuonesha hapa km utanguliz ni kuelezea mtu aliyefaul ni aliyempa ufaul wa namna gan vivyo hivyo aliyefail kulingana viwango vya necta,,,,

Kwa upande wangu nashindwa kukuelewa unaposema walim ni watu waliofail kwa kwa vigezo vip?

NB....katika taaluma ngum kuliko zote kuendelea mbele ni ualim,,,nasema hiv nikimaanisha kwamba
1..huwez ukawa mwalim wa primary bila kuwa na Elim ya form four aliyefaul
2..huwez ukawa mwalim wa secondary km hujasoma form six na kufaul.

Hivyo suala hili linaonesha dhahili ualim upo systematic yan huwez kwenda daraja moja pasipo kupitia daraja la chin,,,
Lakin kada zingine watu wanapata degree hata elim ya six hana ulipaswa kujiuliza hilo swala pia ktk huo utafit wako...

Mwisho ifike mahala,,ujitathin ww mwenyewe,,hapo ulipo fika ni juhud za huyo mwalim aliyefail,,toka primary hadi level ya chuo kikuu leo hii unaleta dharau ya kuwakataa wazaz waliokulea na kukupa maalifa,,,

Jipange kwa vingine ila hilo umechemka,,,ila km umesomea nje ya tz Elim yako yote unahak ya kuwaita walim waliofail
 
Ki ukweli uzi huu ni wa kudharirishana. Wewe mwenye uwezo na ufaulu mzuri mi naamini ni zao la walimu haohao
Juhudi zao zimefanya wewe ukatambua kama wanauwezo mkubwa.

Kwa swala la ajira kuwa rahisi mi naona unawaonea na unaikashfu serikali kwa mabilioni na maamuzi yao kufanya hivo.
Nisieleweke vibaya,, hivi mwalimu ni nani???
Ukijeneralize maana ya ualimu kiukweli kila kada kuna chembechembe ya walimu.

Mi nadhani ni uelewa mdogo tu wako.

Kuna watu kama nyie wengi wapo mtaani kila siku hutembea na bahasha ndani kuna vyeti na anatamani shati lake liandikwe ufaulu wao

Aseeee punguza kashfa kwa walimu wakisikia utawavunja moyo
 
Mbaya zaidi uwezo mtu unaupima kwa ufaulu wa 4m4 na 4m6??? Vipi ambao hawakupata nafasi ya kwenda shule unawaitaje?? Na niwangapi unawazidi uwezo wao?? Na naamini kuna watu wanakuzidi mpaka maisha na uwezo wao ni mkubwa naamini kuliko hata wao
 
Unajua wapi umeshindwa kunielewa?? Hivi unaanza vipi kufananisha mtu anayesoma ualimu wa biashara na arts kwa anayesoma engineering??? Ningekuona wa maana ungeweka points za anayesoma ualimu wa science kwa engineering au ualimu wa arts kwa anayesoma arts courses au ualimu wa biashara kwa courses za biashara badala yake unanichanganyia eti bachelor of arts in education points 5 out of 3 subjects kulinganisha na bachelor of engineering points 2 out of 3 subjects...Ukiangalia unaona yana mshabihiano????
Weka matokeo yako hapa(A&O-level) na sisi tuweke ya kwetu ili tujionee nani kilaza..nyambafu
 
Unajua wapi umeshindwa kunielewa?? Hivi unaanza vipi kufananisha mtu anayesoma ualimu wa biashara na arts kwa anayesoma engineering??? Ningekuona wa maana ungeweka points za anayesoma ualimu wa science kwa engineering au ualimu wa arts kwa anayesoma arts courses au ualimu wa biashara kwa courses za biashara badala yake unanichanganyia eti bachelor of arts in education points 5 out of 3 subjects kulinganisha na bachelor of engineering points 2 out of 3 subjects...Ukiangalia unaona yana mshabihiano????
 
Mna moyo mnaondelea kubishana na huyo mtu! Sababu zake amezitoa tatu, ikiwemo ya ufaulu hafifu, wepesi wa kupata ajira na kutokea familia maskini!

Sasa najiuliza mwaka 2005 nilichaguliwa kozi yake aliyosoma mtoa mada ya PSPA pale mlimani! lakini niliitosa baada ya kupata ushauri na kujichukulia zangu BAED! huku nikiwa na div.1.7(yeye ana div.1.9).

Mtoa mada anatambua (kama kweli ni msomi) ya kuwa zaidi ya asilimia 75 kwa sasa na wakati wetu ilikua asilimia 85 ya watanzania wote wanaishi kwa kutegemea kilimo tena cha jembe la mkono( hapa inamaanisha asilimia hizo za watanzania ni maskini kwa kuwa kilimo ktk nchi hii kimetelekezwa na siasa ndio kila kitu)

Sasa wewe kwa akili zako utaniona mimi niliyepata div1.7 ya hgl niliyechaguliwa PSPA na kuikacha eti nina uwezo mdogo kisa tu nimechagua ualimu ambao baada ya miaka 3 unamaliza na kuajiriwa! Yaani nisiangalie fursa nifuate tu mkumbo na sifa!! baadae niwasumbue ndugu na jamaa wanipe hela ya nauli nikafanye interview ambayo bila shaka sitafanikiwa kwa kuwa tu sina refarii wa kuniunganisha! Tuliyaona haya kule uhamiaji na sehemu nyingi yametamalaki.

Uwezo mdogo unapimwa kwa matokeo. Sekta zote ktk nchi hii watu wenye uwezo mdogo huwezi kuwakosa na sio walimu tu. Na huwezi kumlazimisha mtu afanye vile unavyotaka wewe. Au ulitaka wote tuliofaulu vizuri tukasomee hiyo pspa yako halafu tukimaliza tuanze kumaliza soli za viatu na bahasha zetu za kaki kutafuta kazi wakati tunafahamu mfumo wa ajira za upendeleo ktk nchi hii?

Na sisi tumekua wajanja! tupo huku kitambo, tunafaulisha sana tu wanafunzi, familia zetu zimepata unafuu, watoto wanasoma tena shule za st., mshahara kila mwezi, tumejenga, tunadrive, nk. na natoa rai kwa watu wote wanaotokea familia maskini kama mimi mkienda vyuoni someeni course ambazo mtapata ajira mapema ili mziokoe familia zenu na msihadaike na watu wa aina hii! mtajuta!! nchi hii ina matatizo mengi yanayoirudisha nyuma yakiwemo upendeleo na kubebana. Maisha ni akili yako tu.

Mimi hata nimuone msukuma mkokoteni siwezi kumdharau kwa kuwa ana ilisha familia yake kwa jasho lake na mimi sihusiki. Tuwe na utamaduni wa kuheshimu kazi za watu wengine na tusikwazane.
 
Dah walimu mnawabeza ila mimi kuna walimu wawilu nawajua sijui kwanini walienda ualimu mana mmoja alisoma PCM katusua two ya point 10 na olevel alikua na one point 14 , mwingine alikua na point 8 EGM na olevel point 18 nayekaenda ualimu , tusi generalize mambo
 
Hahahahaaa unajipooza bure Ndugu...sijaanza Leo, nimemaliza 2013 na ninachokiongea nina ushahidi nacho asilimia kubwa ya waalimu wanaangukia vipengele vitatu ila kikubwa ikiwa ni matokeo mabovu
Kumbe umemaliza 2013 kanye kalale
 
Bora waliosoma ualimu hawasumbui humu jf,kuliko hawa waliosoma UJASILIAMALI wanasumbua sana,mtu anakutumia private sms ooh wasiliana nami nina fursa ya biashara,mm huwa nawajibu nenda kafanye,lakini hadi sasa nimejifunza yafuatayo
1.Mtoa mada anashindwa kutofautisha kufaulu na kufeli
2.Anashindwa lawama azielekeze kwa walimu au watungaji na watekelezaji wa Sera.
3.Nimesomea mipango na ktk kozi yetu ya regional planning,kulikuwa na watu wenye division 1-3,lakini walikuwepo waliosoma kuanzia cheti hadi diploma na kuingia degree wenye ufaulu wa D 4 tu o-level
4.Mtoa mada atakuwa mnufaika wa DIVISION FIVE,maana hata utafiti namna unavyofanywa haelewi
 
Muleta Uzi umefanya mambo kikoro sana na itakua umesoma st augustin udom au St. John .....navofahamu baadhi ya point zako ni sawa but ya ufaulu hata kidogo,,,Kwa taarifa yako udsm mwisho 2010 hakuna mtu alisoma ualimu bila div one or two ya point 10.girls paka 2 ya 11.hizo three na failure ni huko Duce na matawi engine pamoja na vyuo vya uchochoroni
 
Unajua kigezo cha ufaulu gani Kinahitajika kwa mtu kusomea degree ya ualimu chuo kikuu kama udsm ?? Ngoja nikusaidie usipende kukalili maisha hiyo fact yak ya kwanza haiko sawa mfano mzuri kwa udsm ili usomee ualim lazima uwe na division 1 ya point yoyote ile ,,, sasa unapokalili na kusema kusomea ualimu ni kwa waliofeli tengua kauli mkuu think critically
labda atakua ana maanisha walimu wa shule ya msingi na wale wa Diploma
 
Muleta Uzi umefanya mambo kikoro sana na itakua umesoma st augustin udom au St. John .....navofahamu baadhi ya point zako ni sawa but ya ufaulu hata kidogo,,,Kwa taarifa yako udsm mwisho 2010 hakuna mtu alisoma ualimu bila div one or two ya point 10.girls paka 2 ya 11.hizo three na failure ni huko Duce na matawi engine pamoja na vyuo vya uchochoroni
Hahahahahah unenifurahisha sababu umeongea kikoro zaidi yangu, nimeingia pale 2010 na nafahamu nilichokiandika mpaka hivi leo nafahamu waliotandika three wamejaa pale UDSM hivyo acha kuongea kishabiki bila reference
 
Mleta uzi unadharau hadi kudharau baba na mama ,watu kama nini ndo huwa mnakana/mnakataa wazazi wenu baada ya kuwa na mafanikio nafikiri mleta uzi umelewa mafanikio ,Nakushauri ingawa mimi siyo Mwl ila walimu ninawaheshimu maana wanatutoa mbali
 
Back
Top Bottom