Walimu kama mmepata mshahara tulipeni madeni yetu.

kuna jamaa nilipanga kwake yaani ilikua hadi nimtafute mwenyewe nimpe pango lake, nilikua naweza kaa hata mwaka simpi hata mia na nikimpa hata hahesabu anatia mfukoni anasepa. Ila sasa upange uswazi yaan mwenye nyumba anajua hadi tarehe za mshahara kama vile yeye ndio mfanyalazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh au nayeye alikua anatafuna vyako we hujui?
 
Hapa nimepanga ofisi mwenye nyumba hadi leo hajaniuliza Kodi yake. Huwa inaanzia Jan 1
unajua kuna watu waelewa wanajua kabisa mpangaji wangu sio mbabaishaji so ukiona hajalipa ujue kweli amepatwa na jambo
 
Ni mtu mpumbavu tu ndio huwakejeli walimu . Kwa akili hizi huwezi kuwa na nyumba wewe.
Walimu kama mshalipwa mtulipe bana hii gvt yenu si inawajali?
It pays you on time and a lot of money na mmeongezwa mishahara sijui madaraja nk.

So plz lipeni madeni yetu huku mtaani. Wiki hii ikiisha naanza kuwafukuza kwenye nyumba yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom