Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 191
Kuna Walimu wengine wana magari yao wenyewe au wenza au marafiki wana magari kwa nini Serikali isiwape posho ya usafiri kama Wabunge wanavyopatiwa ili waweze kugharamia usafiri kwa namna wanayoifahamu wao? Ki ukweli huu ni uzalilishaji na hasa ukizingatia ukweli kwamba pamoja na Wamiliki hao kuridhia mpango huo wa kumtafutia Mkubwa Fulani umaarufu wa bei nafuu, sithani kwamba wamepiunguza kiasi cha fedha ambacho kinapaswa kuwasilishwa kwa siku na waendeshaji wa vyambo hivyo vya usafiri kwa maana ya Dereva na Kondakta. Sipati picha majina na maneno watakayopewa Walimu na Wakondakta wa Daladala.
Ni v ema chama cha Walimu kingepinga udhalilishaji huu wa kidiplomasia
Ni v ema chama cha Walimu kingepinga udhalilishaji huu wa kidiplomasia