Walimu Dar kusafiri bure kwenye daladala

Walimu Dar kusafiri bure kwenye daladala

Kama wamiliki wa magari wameridhia, Kondakta au dereva atakataa vipi?
Kama Haujui Jambo, Ni Vizuri Kuuliza Kwanza, Ndipo Uje Jukwaani!!! Kwa Taarifa Yako Kama Haujui Hili, Ila Ikiwa Mbishi Sawa!! Madereva Wa Daladala Hawana Mikataba Ya Ajira, Yaani Hawalipwi Mishahara, Posho, Hawalipiwi Bima Ya Afya(Treatments ) Hawana Likizo N.k. Kifupi Wao Ni Vibarua Tu, MATAJIRI Wanawapangia HESABU Yao Ya Siku Tu, Madereva Na Makondakta Wanapambana Kutwa Nzima Kutafuta Pesa Ya TAJIRI, Ya Mafuta Ya Kuamshia Gari Siku Inayofuata, Kiasi Ambacho Kinabakia Ndio Chakula Yao Wao!!! SASA Hao Matajiri Hata Walikubali Au Walikubaliana Na DC Makonda, Hilo Halitawaathiri Wao, Bali Wale Wanaotembeza Hayo Magari, MATAJIRI Wao Wataendelea Kupanga Hesabu Zao Tu Na Watawataka Madereva Na Makondakta Wao Wawaletee Kama Walivyokubaliana!!!! UGOMVI Utakuwa Kati Ya Madereva Na Makondakta Wa Hayo Magari, Si Matajiri Wa DC Makonda!!! Hilo Suala Ni Mtambuka, Lazima Woote Wakubali Kugawana Hiyo Gharama Ya Kuwasafirisha Hao WAALIMU Wetu Bure, Wakutane Matajiri, DC Makonda, Wawakilishi Wa Madereva / Makondakta Na Wale CWT, Wakubaliane Namna Watakavyofanya, Matajiri Wapunguze Hesabu Zao Na Mambo Mengine, Na Serikari Itoe Walau Ruzuku Kwa Wale Matajiri Walizokubaliana Nao Kufanya Hilo Zoezi, Na Magari Hayo Yawe Selected Na Kuwekewa Alama Maalum Na CWT Waelekezwe Utaratibu Wa Kufuata Ktk Zoezi Hilo, Kama Idadi Inayotakiwa Kupanda Ndani Ya Mabasi Hayo Na Utambulisho Wao Kwa Wanatembeza Hayo Magari!!! Si Suala La Kukurupuka Tu Na Kutafuta Umaarufu!!! Ni Suala Mtambuka!!
 
Walimu wa shule za msingi na sekondari za umma mkoani Dar es Salaam wataanza kusafiri bure kwenye daladala kuanzia tarehe 7 Machi 2016.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paulo Makonda na viongozi wa vyama vya usafirishaji abiria jijini Dar wanazungumza na wanahabari hivi sasa.
Walimu wstatengenezewa vitambulisho maalum ili kuwaondolea usumbufu.
Huduma hiyo ni katika kuwapunguzia adha ya usafiri na ugumu wa maisha ikiwa ni pamoja na kuunga mkono juhudi za serikali za kutoa elimu bure.
Muda wa kuwasafirisha bure ni saa 11.30 hadi 2 asubuhi na saa 9 hadi 11 jioni.
Naona haeufu ya mgogoro kati ya madereva na hao walimu.
 
Kama Haujui Jambo, Ni Vizuri Kuuliza Kwanza, Ndipo Uje Jukwaani!!! Kwa Taarifa Yako Kama Haujui Hili, Ila Ikiwa Mbishi Sawa!! Madereva Wa Daladala Hawana Mikataba Ya Ajira, Yaani Hawalipwi Mishahara, Posho, Hawalipiwi Bima Ya Afya(Treatments ) Hawana Likizo N.k. Kifupi Wao Ni Vibarua Tu, MATAJIRI Wanawapangia HESABU Yao Ya Siku Tu, Madereva Na Makondakta Wanapambana Kutwa Nzima Kutafuta Pesa Ya TAJIRI, Ya Mafuta Ya Kuamshia Gari Siku Inayofuata, Kiasi Ambacho Kinabakia Ndio Chakula Yao Wao!!! SASA Hao Matajiri Hata Walikubali Au Walikubaliana Na DC Makonda, Hilo Halitawaathiri Wao, Bali Wale Wanaotembeza Hayo Magari, MATAJIRI Wao Wataendelea Kupanga Hesabu Zao Tu Na Watawataka Madereva Na Makondakta Wao Wawaletee Kama Walivyokubaliana!!!! UGOMVI Utakuwa Kati Ya Madereva Na Makondakta Wa Hayo Magari, Si Matajiri Wa DC Makonda!!! Hilo Suala Ni Mtambuka, Lazima Woote Wakubali Kugawana Hiyo Gharama Ya Kuwasafirisha Hao WAALIMU Wetu Bure, Wakutane Matajiri, DC Makonda, Wawakilishi Wa Madereva / Makondakta Na Wale CWT, Wakubaliane Namna Watakavyofanya, Matajiri Wapunguze Hesabu Zao Na Mambo Mengine, Na Serikari Itoe Walau Ruzuku Kwa Wale Matajiri Walizokubaliana Nao Kufanya Hilo Zoezi, Na Magari Hayo Yawe Selected Na Kuwekewa Alama Maalum Na CWT Waelekezwe Utaratibu Wa Kufuata Ktk Zoezi Hilo, Kama Idadi Inayotakiwa Kupanda Ndani Ya Mabasi Hayo Na Utambulisho Wao Kwa Wanatembeza Hayo Magari!!! Si Suala La Kukurupuka Tu Na Kutafuta Umaarufu!!! Ni Suala Mtambuka!!
Usiwe mtabiri kwa kitu usichokijua! tumeelezwa kuwa DC makonda kafanya kikao na wamiliki wa daladala na wakakubaliana mambo kadhaa, unafahamu msingi wa makubaliano hayo yalivyofikiwa?
 
Serikali ikumbuke na kuwapatia mafuta wamiliki wa daladala walau 500 lts kwa mwezi hapo serikali itakuwa imewaweza makondakta wakorofi
SIO Wakorofi Mkuu, Hata Ungekuwa Ww Hauwezi Kubali Hilo, Coz Madereva Na Makondakta Matajiri Wamekataa Kuwapatia Ajira, Ambayo Wangekuwa Wanalipwa Mishahara, Wanakatiwa Bima Za Afya, Wanapata Likizo Na Wanalipa Kodi!! Lkn Matajiri Wamegoma Kufanya Hilo Na Huyo Makonda Analijua Hilo Vizuri!! Sasa Matajiri Wao Wanawapangia Madereva Na Makondakta Hesabu Zao Kwa Siku, Na Wajaze Mafuta Ya Kumshia Magari Siku Inayofuata!! Wacha Matrafiki Huko Barabarani!! Madereva Na Makondakta Wanaendesha Maisha Yao Na Familia Zao Kwa Kugawana Kile Kinachobakia Baada Ya Kutoa Mahesabu Yote Ya Matajiri Na Mafuta!! Sasa Kuwaona Wakorofi Ni Kutokana Na Mfumo Wa Kazi Zao, Sasa Bado Unawabebesha Zigo Jingine Tena, Coz Hao Matajiri Haliwagusi Hata Kidogo, Wao Hesabu Zao Ziko Pale Pale Tu!!
 
HAO WAPEWE CHAO; WALIPWE VIZURI WAWE NA UWEZO WA KUGHARAMIA MAISHA YAO, MAKAZI NA USAFIRI MSIWAFANYE MADODOKI YA KUOGEA NA KUTAKATISHA AGENDA ZA KISIASA
 
Katika maisha hakuna cha bure,cha bure kina manyanyaso lukuki,now Makondakta watakua wanachukua nauli kabla ya daladala kuondoka,na ukiwa ni mwalimu haki ya mungu Konda atakushusha na matusi juu!,tunaanza kurudishwa enzi za ujamaa,currently we have to move on with capitalism system ndio tutaendelea kama taifa,hivi vya bure bure vinatupumbaza,tunakua hatuwezi kuwa na mapinduzi ya kifikra coz tunaamini katika bure,shida ya mwalimu sio pesa ya nauli,bali ni changamoto anazokutana nazo coz of maslahi duni huku akiwa na matatizo chungu mzima!

Ha! Ha Ha Capitalism has failed to rule the world bro! Its better to change the system.
 
Kuanzia machi 7 waalimu wa shule za msingi na sekondari kusafiri bure.
 
Kuanzia machi 7 waalimu wa shule za msingi na sekondari kusafiri bure. Wameungwa mkono na chama cha madereva na wamiliki pia. Watatumia vitambulisho maalumu.Hizi ni harakati za mheshimiwa sana Paul Makonda
 
Ugomvi/tatizo la walimu na serikali, hili ni janga la bara zima la afrika na baadhi ya nchi zilizo endelea lazima tulijue hilo

Yaani walimu ndio wanaoupeleka mfumo mbele lakini ndio wanaishi maisha haya ya mbwa kachoka amma kweli waafrika ni ngozi ya t*ko.
 
Ha! Ha Ha Capitalism has failed to rule the world bro! Its better to change the system.
Hebu jiongeze bhana,do think namaanisha Capitalism system pekee ndio i rule?,katika dunia ya leo there is no way lazima kuwe na government intervention i.e Mixed Economies,concern yangu ni kuacha kufikiria na ku rely on those cheap charities, ni kumdhalilisha tu mwalimu coz tunaelewa tabia za makondakta wa Dsm,and then hata kama hao wamiliki wamekubali inabidi ieleweke ni katika terms zipi,maana haiingii akilini mtu chombo chake cha usafiri analipia kodi,service n.k eti akubali tu kutoa msaada wa kupanda bure,huu ujamaa ndio umetufikisha hapa tulipo,unless kama hao wamiliki watapewa ruzuku na serikali,lakini vinginevyo tujiandae kumuona mwalimu anafedheheshwa kwenye madaladala...
 
ilikuwa vita kat ya makondacta na wanafinZ ....saiv ngoja tusubir ya walim n makonda
 
HAO WAPEWE CHAO; WALIPWE VIZURI WAWE NA UWEZO WA KUGHARAMIA MAISHA YAO, MAKAZI NA USAFIRI MSIWAFANYE MADODOKI YA KUOGEA NA KUTAKATISHA AGENDA ZA KISIASA
Bawacha hamna jema kabisa..
 
Nilidhani ulibase katika mfumo zaidi ndio nikajaribu kuonysha kuwa ubepari umefeli kutawala dunia na badala yake kuchance system na kusema its better to live under communism. Yote kwa yote urasilimali umeleta maisha mabovu sana na kuweka madaraja kati aliyekuwa nacho na asiye nacho.
 
Hebu jiongeze bhana,do think namaanisha Capitalism system pekee ndio i rule?,katika dunia ya leo there is no way lazima kuwe na government intervention i.e Mixed Economies,concern yangu ni kuacha kufikiria na ku rely on those cheap charities, ni kumdhalilisha tu mwalimu coz tunaelewa tabia za makondakta wa Dsm,and then hata kama hao wamiliki wamekubali inabidi ieleweke ni katika terms zipi,maana haiingii akilini mtu chombo chake cha usafiri analipia kodi,service n.k eti akubali tu kutoa msaada wa kupanda bure,huu ujamaa ndio umetufikisha hapa tulipo,unless kama hao wamiliki watapewa ruzuku na serikali,lakini vinginevyo tujiandae kumuona mwalimu anafedheheshwa kwenye madaladala...

Nilidhani ulibase katika mfumo zaidindio nikajaribu kuonysha kuwa ubepari umefeli kutawala dunia nabadala yake kuchance system na kusema its better to live under communism. Yote kwa yote urasilimali umeleta maisha mabovu sana na kuweka madaraja kati aliyekuwa nacho na asiye nacho.
 
Back
Top Bottom