Walikuwa wanawaza nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walikuwa wanawaza nini?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ronn M, Aug 23, 2012.

 1. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Walikuwa wanawaza nini?

  Walipojenga ile power plant pale ubungo!

  Walipojenga lile daraja (pekee in dar) pale manzese?

  Walipokuwa wakiwachagua viti maalumu (au vitumaalum)?

  Walipotangaza wanafunzi 5000 wa shule ya msingi wamefaulu kuingia sekondari lakini hawajui kusoma wala kuandika (sijui waliofeli wanajua nini)!

  Walipotoa permit za kuporomosha mijengo posta wakiona hali ya barabara!
   
 2. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya utayakuta tanzania tuu
   
 3. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  walipochukua NSSF yetu na kutuambia tukacollect when turning 55! ONLY IN TANZANIA!
   
 4. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  walipo walipa wafanyakazi hewa karibu 10,000 kwa karibu bilioni mia moja lakini wakakosa za kuwalipa walimu na madaktari wanaowaona kwa macho!
   
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...waliposema ARI mpya NGUVU mpya na KASI mpya, akati serikali ni LEGELEGE na DHAIFU
   
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  asante kwa kunipa tabasamu asubuh asubuh, btw hujambo mama c
   
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  .....Waliposapoti Mmiliki wa Richmond asipigwe picha pale Ubungo Songas.
   
 8. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wanapokusanya kodi kwa zaidi ya 100% ya lengo lakini serikali haina pesa!
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  waliposema TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA SASA TWASONGA MBELE wakati hawajaweza chochote
   
 10. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  waliposema tena bungeni liwalo na liwe wakati watanzania maskini wakipata tabu kutokana na mgomo wa madaktari...!
   
 11. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  walipotangaza vita wakati mkuu hajasema! Au pengne aliwageuka baada ya kupata maneno muruwa ya mama Banda? Nimewaza tuu!
   
 12. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Halafu wakaahidi kumlinda kwa gharama yeyote mtu waliyetaka afe kwa gharama yeyote! Walikuwa wanawaza nini?
   
 13. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Tena na kukana kwa nguvu zote hawahusiki na watawatafuta wahusika kwa udi na uvumba kumbe ....!!!!!!
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Walipotulea condom fupi kama za wanaume wa kiJapan na kiKorea wakati huku sisi waafrika tumejaaliwa/tunamiliki mitulinga ya kushiba (midushe ya ukwee) ikawa tukivesha zaveka nusu!
  Nusu ndumwa nusu nje !
  Waliwaza nini ?
   
 15. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  He?!mpenzi wangu umeanza kujiingiza kwenye siasa kabla hata hatujakamilisha nia yetu?Naogopa wasije wakakupoteza nikakusa, wale wanaonipiga vita indirect wakafurahia.
   
 16. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280

  Judgement bana, u make me laugh u guy!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duh, ina maana wajapani na wachina hawana hizi baraka za kiafrika? Mamito jeneneke, Erickb52 na mshenga ruttashobolwa mwasemaje?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  sijambo sweetheart! mzima wewe??
   
 19. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  me mzima,hawajambo akina c's!
   
 20. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Politics is part of our life my dear! Everyday we are affected by it. What matters is to what extent are we involved in it!
   
Loading...