Walikuwa wanawaza nini?

Walikuwa wanawaza nini?

They were unsound!

Walikuwa wanawaza nini?

Walipojenga ile power plant pale ubungo!

Walipojenga lile daraja (pekee in dar) pale manzese?

Walipokuwa wakiwachagua viti maalumu (au vitumaalum)?

Walipotangaza wanafunzi 5000 wa shule ya msingi wamefaulu kuingia sekondari lakini hawajui kusoma wala kuandika (sijui waliofeli wanajua nini)!

Walipotoa permit za kuporomosha mijengo posta wakiona hali ya barabara!
 
Hivi Baba V amewaza nini kutaka kuingilia mapenzi ya watu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom