Hajawahi kukosa pesa za kujenga barabara,madaraja,airport na kwny miradi ya dizaini hio anasemaga kabisaa nchi hii ni tajiri ina mafedha mengiiiiii lkn ikija kwny stahiki za wafanyakazi/wanafunzi/wakulima hapo lazima watu walizwe tu.Huyo ndio JIWE nayemjua MIMI kwenye issue za PESA yaani akishaona hela kama hiyo inaenda huku anaona kama INAPOTEA na ndio maana akasema ipunguzwe dawa yake muonyesheni kwenye sanduku la KURA!!
Waswahili wanaita "Roho ya Kutu".Hajawahi kukosa pesa za kujenga barabara,madaraja,airport na kwny miradi ya dizaini hio anasemaga kabisaa nchi hii ni tajiri ina mafedha mengiiiiii lkn ikija kwny stahiki za wafanyakazi/wanafunzi/wakulima hapo lazima watu walizwe tu.
Sijui ana shida gani na hao watu.
Nafikiri ni masharti ya kiganga..Hajawahi kukosa pesa za kujenga barabara,madaraja,airport na kwny miradi ya dizaini hio anasemaga kabisaa nchi hii ni tajiri ina mafedha mengiiiiii lkn ikija kwny stahiki za wafanyakazi/wanafunzi/wakulima hapo lazima watu walizwe tu.
Sijui ana shida gani na hao watu.
hpn mkuu kimsboyAliyeshiba amuoni mwenye njaa
Wewe bila shaka utakua afisa wa Heslb ndo maana unangangania uzi ufutwe ili muweze kuhalalisha ubaradhuri wenu mnaowafanyia wanafunzi
Je kama ni 40000 miezi 3? Au 20000 miezi 6?Kwa nini ulipe kodi ya nyumba 120000
Ndiyo maana wazazi hua mtoto akisema ajira hamna hua mnaona analeta masikhara kwa jinsi nyinyi mlivyojibana kuhakikisha wanamaliza chuo.Ni hatari mwanangu kanitumia meseji kwamba amepigwa za chembe na HESLB inabidi jumamosi nifanye mchakato wa kuuza kuku wangu wa bagamoyo ili nimuongezee BOOM.
Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.
Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi. Si bora niache tu?
Na jana amejimwambafy kwa kutoa bil 2 kujenga makazi ya wanatakukuru, ila swala la maslahi hilo kasema acha kwanza! Vitu kwanza, watu baadaeHajawahi kukosa pesa za kujenga barabara,madaraja,airport na kwny miradi ya dizaini hio anasemaga kabisaa nchi hii ni tajiri ina mafedha mengiiiiii lkn ikija kwny stahiki za wafanyakazi/wanafunzi/wakulima hapo lazima watu walizwe tu.
Sijui ana shida gani na hao watu.
Huko hakuna Upigaji kungekuwa na CHA JUU wangekuwa wanapata si unajua JIWE MTU WA FURSA si Umeona alivyotupiga MV DAR-ES-SALAAM?Hajawahi kukosa pesa za kujenga barabara,madaraja,airport na kwny miradi ya dizaini hio anasemaga kabisaa nchi hii ni tajiri ina mafedha mengiiiiii lkn ikija kwny stahiki za wafanyakazi/wanafunzi/wakulima hapo lazima watu walizwe tu.
Sijui ana shida gani na hao watu.
Ukweli Mkuu!! Thanks!!Ndiyo maana wazazi hua mtoto akisema ajira hamna hua mnaona analeta masikhara kwa jinsi nyinyi mlivyojibana kuhakikisha wanamaliza chuo.
Hadi leo nikimuambia mzee ajira ngumu na sijapata ananiambia sijitumi kutafuta. Mi naamini kusingekua na tatizo la ajira wale wanufaika tungekua tumeajiriwa kwa wingi na kukatwa % yao ingebust hawa wengine kupata angalau kidogo ili kupunguza makali.
Nikutakie kila la kheri kumsomesha mtoto.
Yaani.....Mkuu mbona unatufokea sasa, wby?
Nchi ya hivyo sana hii.Hapa utakuta hiyo pesa ya boom iliyokatwa inaenda kutumika kwenye kampeni za ccmHuyo ndio JIWE nayemjua MIMI kwenye issue za PESA yaani akishaona hela kama hiyo inaenda huku anaona kama INAPOTEA na ndio maana akasema ipunguzwe dawa yake muonyesheni kwenye sanduku la KURA!!