hb Mujahideen
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 152
- 164
Kama n ke nipe namba yake, she is life material LucasMaisha wakati mwingine sio ya kuyachukulia serious, jamaa kaja hapa kulia akati nina rafiki angu alikua anapewa elfu 20 kwa mwezi and she tried to be happy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utanipunguzia hiyo sumu kidogo.
Hostel zipi hazina watu mbona unaongea mashudu wewe dada umetumwa au. Mimi mwaka huu niapply hostel na nikakosaWengi wakifika chuo hujimwambafai kwa kuji Dai kupanga nje Sasa matokeo maisha yanakuwa magumu, udsm yenyewe Kuna hostel hazina watu kabisa why ukae nje, enzi nzetu hakukuwa na Magufuli hostel watu walikuwa wanabebana kwa kwenda mbele, Tena enzi hzo mtu ukitoka kazi nje nje had walimu wa Art's Sasa vijana Zama hizi unatoka chuoni na bachelor degree ya medicine unasota kitaa, kwanini usifanye ka saving ka kuanzia maisha jamani ka mtaji!?
Huna experience yoyote kuhusu udsm kaa kimya dada yanguMimi nasemea udsm kwa experience huko kwingine I have no idea kwa kweli hafu tangazo la body wamefanya calculation ya siku wanazokaa kwa semister ndio ikaja hyo laki tatu na ushee, sioni haja ya kulaumu. Maana kwa siku 8500 Sasa wamekaa pungufu tu walipwe.
Hafu hyo hela ya hostel too expensive si wakodi nyumba haswa
Nimeongea yangu na nilivo ishi ingependeza na wewe uandike yako maana kila mtu na life style yake, so sidhani kubishia uzoefu wangu bila kueleza side yako hai make senseHuna experience yoyote kuhusu udsm kaa kimya dada yangu
Acha povu wewe, uongea na watu ujue vizuri, Kuna hata sio student wanaishi hostel mbonaHostel zipi hazina watu mbona unaongea mashudu wewe dada umetumwa au. Mimi mwaka huu niapply hostel na nikakosa
Unadanganya watu sijui unanufaika vipi. Umetoka kusema Magufuli kuna nafasi za wazi wakati hakuna nafasi kabisa na mpaka watu wanabebana. Mimi nipo udsm sasaivi apa ni mwanafunzi na nilikosa hostel mwaka huu sikupangiwa zilikua zimejaa. Naomba niambie izo nafasi unazosema ni za udsm ya mkoa gani labda ShinyangaNimeongea yangu na nilivo ishi ingependeza na wewe uandike yako maana kila mtu na life style yake, so sidhani kubishia uzoefu wangu bila kueleza side yako hai make sense
Wewe ni mlopokaji na huna content yoyote kichwani with your room temperature IQAcha povu wewe, uongea na watu ujue vizuri, Kuna hata sio student wanaishi hostel mbona
Sasa nidaganye ili nifaidike Nini napewa hela au maana watu wameacha vyumba wako kitaa kwa hiyari yao wewe Kama umekosa ni bahati yako mbaya tu, labda una mkosi wa kaniki au wa kunguru, kaongee na mawadeni wewe, kubebana Sana ilikuwa enzi zetu before magufuli hostel Tena ma block A ya wanawake lilikuwa hayajai yet watu walikuwa wanabebana tu.Unadanganya watu sijui unanufaika vipi. Umetoka kusema Magufuli kuna nafasi za wazi wakati hakuna nafasi kabisa na mpaka watu wanabebana. Mimi nipo udsm sasaivi apa ni mwanafunzi na nilikosa hostel mwaka huu sikupangiwa zilikua zimejaa. Naomba niambie izo nafasi unazosema ni za udsm ya mkoa gani labda Shinyanga
[emoji23][emoji23][emoji23]una stress kunywa maji banangeWewe ni mlopokaji na huna content yoyote kichwani with your room temperature IQ
Duuh kwani huo mkopo wewe ulipewa ajili ya nini? na ni wa asilimia ngapi? je ulikata rufaa kudai zaidi? je ulikubaliana na masharti uliyopewa? Majibu ya haya maswali walau yatakufanya uelewe na viongozi wenu wameongea radio Uhuru leo asubuhi!!! Soma ujikomboe!! Malipo ni kwa siku za kusoma au field!!!Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.
Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi.
Huu naona ni wakati mwafaka wa kuacha chuo japo bado wiki 5 tu nimalize
Kwani amesema anataka kunywa sumu?.Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
Kwani heading ina ubaya gani?.Mkuu ingekuwa kwanza vyema uombe mod wabadilishe heading maana maneno huumba watu husema
MIT. :18:21
Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.
Pili nikupe pole kwa hilo lililotokea kabla ya kufikiria kukata tamaa angalia njia nyingine unavyoweza kusurvive ktk mazingira hayo usikubali kufa kizembe
Anataka kunywa sumu board ya mikopo imepunguza bumu asilimia kubwa,na Mimi namshauri ajiandae kisaikolojia maana maisha ya chuo huanza graduate akiwa mtaaniKwani amesema anataka kunywa sumu?.
Huna hoja fala wwDuuh kwani huo mkopo wewe ulipewa ajili ya nini? na ni wa asilimia ngapi? je ulikata rufaa kudai zaidi? je ulikubaliana na masharti uliyopewa? Majibu ya haya maswali walau yatakufanya uelewe na viongozi wenu wameongea radio Uhuru leo asubuhi!!! Soma ujikomboe!! Malipo ni kwa siku za kusoma au field!!!
Una hakika mkataba umeandika idadi ya pesa. Mwanafunzi anayotakiwa kupewa.Hii post nataka ibaki hapa hapa jukwaa la siasa maana inahusu mustakabali wa vijana wetu ambao wapo vyuoni
Nimeliona hili bandiko
Kesho nitakunywa sumu
Nimeshangazwa na kitendo cha bodi ya mikopo kuwapunja wanafunzi pesa yao ya kujikimu kwa madai ya muda wa masomo vyuoni ni mdogo kinyume na mkataba huu ni upumbavu wa hali ya juu.
Nitashangaa sana kusikia kwamba bodi ya mikopo wametumwa na Rais au hata waziri kufanya hilo kwa wanafunzi.
Pesa ya kujikimu vyuoni huwa ni laki 530000 wanapewa, lakini wamepewa laki mbili tu huku marejesho wakija kutakiwa kurejesha laki 530000 hiyo hiyo.
Loan board wamegeuka wabinafsi, watu wenye mihemko na wasiojali wanafunzi ambao wengi ni maskini.
Inashangaza sana na kusikitisha sana kwamba mpaka dakika hii wahusika wapo ofisini na wameachwa tu na hapo ndo naanza kuamini kwamba hii ni amri kutoka ngazi za juu.
Inasikitisha sana kuona hili limetokea na nikumbushe kwamba wanafunzi wa toka mwaka 2019 November hawajapewa laki mbili ya books and stationery ambayo hutolewa.
Swali hizi pesa kwani ni za bure?Jibu ni kuwa wanazilipia,na kinachoshangaza ni kuwa ijapo wamepewa laki 2 na mkataba umesema ni laki 5 watakuja kulipia hiyo laki 5 yote japo walipewa laki 2.
Nitashangaa sana kama loan board wanaweza kufanya maamuzi ya ajabu namna hii bila kuzingatia utashi na kanuni na wahusika wapo tu ofisini.
Uandishi wako unathibitisha ulivyo MCHOVU kwenye ubongo!Huna akiri ungekuwa unajua wangapi wamekosa elimu ya chuo kwasababu ya hali ngumu wamekosa mkopo usingeandika ujinga.
Ninyi ndio muliopewa mkopo huku mukiwa hamustahili.
Nonsense huna hoja inayoeleweka, ukubali tu umeandika ujinga na unakuja kutetea ujinga kwa hoja zisizoeleweka.Uandishi wako unathibitisha ulivyo MCHOVU kwenye ubongo!
Ungekuwa na upeo usingekurupuka hivi ila ungeomba maelezo zaidi.
Niweke sawa nilichokiandika;
Nilimaanisha kwa yeyote ambaye anaweza kupambana nje ya heslb asihangaike na mkopo maana ulipaji wa hilo deni kwa walio wengi ni mzigo. Kama hauna mbadala kifedha basi huo mkopo ni muhimu.