Wali bila maharage ni uharibifu wa mchele

Wali bila maharage ni uharibifu wa mchele

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,898
Reaction score
12,179
Jionee mwenyewe👇
images (48).jpeg
images (47).jpeg
images (46).jpeg
images (49).jpeg
images (51).jpeg
images (50).jpeg
 
Aliyegundua hii combo aendelee kubarikiwa, mama alikuwa anashangaa nikitoka shule(boarding) chakula nachotaka kupikiwa kwanza ni wali maharage wakati miezi yote mitatu wakati wa shule ni maharage kwenda mbele.

Nikija kuoa sheria ni mke wangu ahakikishe hiki chakula kinapikwa si chini ya mara mbili kwa week. Bora uninyime nyama asee ila sio wali maharage
 
Back
Top Bottom