Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mikanda ya mi band 3 na mi band 4 kwa wanaopenda crazy colors.
Tshs 10k only.

Contact 0625 54 77 67
DSM
00000IMG_00000_BURST20201019094638187_COVER.jpg
View attachment 1604779View attachment 1604778
 
Wakuu niaje nina kama 350k ivi naweza pata xiaomi device ya aina ipi iwe bomba na siyo ya kuagiza ali express naitaka ya hapa hapa tz
 
Unataka sisi tubahatishe hilo tatizo la simu yako? Si useme inashida gani pengine unaweza pata msaada humu
Yaani siwezi kuona minimized apps. Kwa mfano nlikua nko JF,nikaingia whatsapp,nikaingia YouTube etc. Nkitaka kurudi Jf Hadi nikaclick icon yake vinginevyo nikibonyeza hapa chini kushoto haioneshi apps zozote nlizokua nazitumia recently
 
Mzigo wangu umefika toka tarehe 17 lakini mpaka Leo tarehe 20 sijatumiwa sms je naweza kwenda kuchukua mzigo wangu hata kama sijatumiwa sms na kama nikienda naanzia wapi?
Mimi ni mkazi wa Dar.
 
Attachments

  • Screenshot_20201019-072553_1603203924120.jpg
    Screenshot_20201019-072553_1603203924120.jpg
    47.8 KB · Views: 4
Mzigo wangu umefika toka tarehe 17 lakini mpaka Leo tarehe 20 sijatumiwa sms je naweza kwenda kuchukua mzigo wangu hata kama sijatumiwa sms na kama nikienda naanzia wapi?
Mimi ni mkazi wa Dar.
Nenda kaulizie... Ila inaonesha umekamatwa na watu wa custom unaitaji kuulipia..... Kama hawajakupigia maana yake haujapewa FPL no so kama unaweza subir kama unawasaa nenda kaulize

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Dah mzigo wa dola 5 na kodi juu hii sasa ni hatari
Mizigo ina kuwa presented kwa watu wa customs hata uwe wa dola 1 wao ndo wataprocess kama sio wa kuulipia utapelekwa kwenye delivery point kama wakulipia watabaki nao.. So usiwe na wasi mizigo midogo midgo iyo hawa charge

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
NJOONI MCHUKUE GOOGLE PIXEL 3A
Offline market FULL Boxed (cover, fast charge, otg , protector , ejector)
Ram 4 Gb
Rom 32 Gb
Android 11
Excellent Camera 12 mp (4k vids, Portrait, night sight, Astrophotography )
Bei 580k negotiable kidogo
Nipo Sinza
NO EXCHANGE
PXL_20201025_124713654.jpg
PXL_20201025_124759479.jpg
 
Back
Top Bottom