Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Unasetije mzee
Unaeda setting - display - reading mode, unaeka ON. Alaf colour them, unachagua warm au cool.
Kioo kinaiva kama super amoled ya samsung au zaid kulingana na unavyoset wewe.
Mfano sceenshort hapa chini
Screenshot_2020-10-13-09-33-37-639_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Wakubwa nani ameshawahi kutumia Redmi 9A ya 2gb atupe experience yake,mapungufu yake katika speed unapofanya vitu.je haina uslow wa hovyo kama uliopo kwenye Redmi 8A ya ram 2gb
 
Wakubwa nani ameshawahi kutumia Redmi 9A ya 2gb atupe experience yake,mapungufu yake katika speed unapofanya vitu.je haina uslow wa hovyo kama uliopo kwenye Redmi 8A ya ram 2gb
Ongeza hela au kama hutojali heri uitafute redmi 7 ina nguvu kuliko hizo simu japo kwa sasa imeanza kua adimu sana kuipatq
 
Ongeza hela au kama hutojali heri uitafute redmi 7 ina nguvu kuliko hizo simu japo kwa sasa imeanza kua adimu sana kuipatq
Bajeti inabana kiongozi na ukizingatia mambo ya kuagiza,kusubiria nk wengine hatuwezi.nataka redmi mpya ya kawaida tu hapahapa tz ya bajeti isiyozidi 300k
 
Nimewahi kutumia smartphone zifuatazo..
Huawei Y330.
Tecno y3, W4
Samsung s3,s6 flat na S7 edge.
Xiaomi redmi 9A.

Ila nimeipenda sana hii Redmi 9A ukilinganisha na hizo S7 edge, ni simu nzuri sana.

Nina mpango wa kuchukua redmi yenye spec kali kuzidinhii 9A.

Hizi simu ziko poa sana kwenye..
1. Network (kama wewe ni mtu kutembelea sana maeneo ambayo network ni chenga, basi hii 9A ina kufaa)
2. Battery ( inatunza sana charge)
3. User interface ( inavutia kuitumia)
4. Ina settings za audio za kibabe, unapata muziki uliotulia sio kama wa Tecno ambao ni kelele nyingi.
Na mengine mengi.

Ila hii Redmi 9 A, camera 📸 yake haifanyi vizuri usiku, nimegundua sababu ni mwanga mdogo wa taa yake.

Samsung bye bye.
 
Track number inaonyesha mzigo wangu imefika Dar tarehe 16 lakini sijaona sms yoyote ya kuitwa kuchukua mzigo au sababu leo ni jmosi mpaka jtatu?
 
Attachments

  • Screenshot_20201017-150634_1602937045163.jpg
    Screenshot_20201017-150634_1602937045163.jpg
    46.7 KB · Views: 3
Redmi 8A anatumia Soc ya Snapdragon 439 ambayo ni dhaifu hata Kwa Helio G35 at least chukua redmi 9C ambayo itaperform vzr with reasonable price esp gaming

Haina uslow wa 439.
Wakubwa nani ameshawahi kutumia Redmi 9A ya 2gb atupe experience yake,mapungufu yake katika speed unapofanya vitu.je haina uslow wa hovyo kama uliopo kwenye Redmi 8A ya ram 2gb
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom