Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Google Pixel 3a brand new inauzwa
32 gb, ram 4 Gb
Android 11
Best camera phone 2018
600k
piga 0682521021
IMG-20200927-WA0005.jpg
IMG-20200927-WA0006.jpg
IMG-20200927-WA0008.jpg
IMG-20200927-WA0009.jpg
 
Wakuu hii Xiaomi redmi note 8 pro yangu sasa hivi inaleta shida. Ni hivi, nikiwa na make a call mtu akipokea tu automatically inajiturn off screen so napata shida yaan hadi maongezi yaishe. Sasa kama nataka kuplace another call nifanye conference call inakua changamoto. Naomba msaada wa kudisable hii feature ili hata nikiwa naongea na simu screen ibaki on. Natanguliza shukrani
Nenda call setting incoming/outgoing call kuna sehem inasema proximity sensor weka off nusu niiuze simu yangu

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nahitaji hii simu itanigharimu shs ngapi?? na kwa hapa bongo naweza kuipata katika duka lipi??
Kwa hapa Tz sina taarifa ya kutosha zinakopatina, hua nasoma comment za baadhi ya member wanasema kuna maduka wanauza. Mimi niliagiza online Aliexpress.

Beti iko tofauti kila muda kulingana na exchange rate ya siku unafanya manunuzi, pia inategemea na order yako, mfano una nunua simu peke yake au na vitu kama cover, glass film nk. Kwa kifupi bei ya simu peke yake inaanzia USD 195, na leo nimeona imepunguzwa kwa 25%. Kumbuka hiyo bei ni simu tu hapo bado haijawekwa shipping fee ambayo ni kama 10$
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom