Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hongera kwa kuleta mzigo Mpya, bei pia ni reasonable Sana kwa mteja, Haylou ni nzuri sana deep bass, overall sound signature sio mbaya pia

Shida yake tu kwanza ni nzito masikioni, ukizitumia kwa muda mrefu utakapo zivua bado utahisi kama kuna zigo sikioni !!

Shida ya pili ni hazina volume control yani zinategemea source software sound control

Tws kwa sasa haziepukiki mana ndo game ya mjini, hasa kwa sisi Ma audiophiles pori, nina decent wired headphones, lakini kupata simu yenye drivers za kulifanya itoe sauti nzuri ni mtihani, simu nyingi hazina kipaumbele kwenye sound drivers, ila ukipata Tws unakuwa umemaliza tatizo

Ila ukimaliza huo mzigo wako nistue nukuelekeze Tws za kununua na uta kimbiza mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nitajie hizo Tws boss.
 
Back
Top Bottom