Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nataka kuingia ulimwengu wa xiaomi budget yang ni 400k pendekezo nichukue MI a3 wakuu suggestions please
 
Nataka kuingia ulimwengu wa xiaomi budget yang ni 400k pendekezo nichukue MI a3 wakuu suggestions please
.Hutapata radha ya miui kwa kina kwani hio ni Android one. Chukua simu nyingine ili upate vionjo vya xiaomi na features zake kama dual apps, second space na zingine.
 
Na ili kuhakikisha my stuffs ni mnyoooko mchek huyoo jamaa nimemuuzia redm 7 juzi.... satisfyd
Screenshot_2020-01-29-13-49-56-070_com.quoord.jamiiforums.activity.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom