Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Xiaomi Mi 6
Storage 64gb
Ram 6gb
12mp dual camera
Dual sim
Mint condition
450k
Contacts: 0714192765
IMG_20200207_192709.jpeg
IMG_20200207_193632.jpeg
IMG_20200207_193635.jpeg
IMG_20200207_195631.jpeg
IMG_20200207_195543.jpeg
IMG_20200207_195641.jpeg
IMG_20200207_195651.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii simu nimeshindwa kutambua Model yake , ila naona ni kampuni ya Xiaomi ... Naombeni mwenye kuifahamu anijuze , na kama naweza pata Betri lake anijuze please na kama naweza ipata online wakuniagizia anijuze maana kuna mtu kaileta anataka ifanyiwe matengenezo ya betri kwanza na mengine yatafuata. Namba yangu hij ya VODACOM 0758502213 au nicheki PM ..
IMG20200211102056.jpeg
IMG20200211102114.jpeg
IMG20200211102216.jpeg
IMG20200211102224.jpeg
IMG20200211102234.jpeg
IMG20200211102309.jpeg
IMG20200211102319.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG20200211102114.jpeg
    IMG20200211102114.jpeg
    51.8 KB · Views: 1
Hii simu nimeshindwa kutambua Model yake , ila naona ni kampuni ya Xiaomi ... Naombeni mwenye kuifahamu anijuze , na kama naweza pata Betri lake anijuze please na kama naweza ipata online wakuniagizia anijuze maana kuna mtu kaileta anataka ifanyiwe matengenezo ya betri kwanza na mengine yatafuata. Namba yangu hij ya VODACOM 0758502213 au nicheki PM .. View attachment 1354205View attachment 1354206View attachment 1354207View attachment 1354208View attachment 1354209View attachment 1354210View attachment 1354211

Sent using Jamii Forums mobile app

Chukua IMEI number alafu uingie kwenye website ya TCRA.... ingia kwenye menu ya IMEI VERIFICATION..... weka hizo imei number alafu bonyeza sahemu wameandika verify you device...
Tumia link hii IMEI Code Verification
IMG_1721.JPG
 
Nauza redmi 8 sapphire blue 64 GB brand new

 
Nauza redmi 8 sapphire blue 64 GB brand new

Njoo PM tuyajenge kaka0717135641 whatssap only
 
kuna bizaa hapa kiafrika azija shika makert kutona soko lake kubwa lipo njee kwa grade ya juu mfano meizu,one plus,honnor,xiomi n.k ingia gsm arena ndio utajua hivi vikampuni itel na techno vilikuja hapa afrika kutafuta mtaji mpaka vilipo tupa vitu vibovu leo ndo wana toa simu.lakini hazitambuliki
Vipi kuhusu vivo phone
 
Back
Top Bottom