Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Umejibu tofauti na jamaa alivyomaanisha
Nazani SangaweJr alimaanisha kama jamaa angekaza moyo , basi kwa pesa hiyohiyo angepata simu iliyobora zaidi, endapo angeagiza online
Unavyotumia pesa ndivyo unavyojaaliwa kupata akili ya kusaka nyingine zaidi...! Sio unatunza pesa bank hazina faida kwako ila unafaidisha wenye bank , Tumia pesa kwa mambo unayotamani kuwa nayo ili roho yako itakate hayo ndo matumizi ya pesa sio unajinyima mpaka roho inanyong'onyea hadi unajionea huruma,,,, Mwishoe unaugua bure kwa msongo wa mawazo...
 
Muda unaelekea kwisha, lakin hata ukiisha huna haja ya kufungua dispute kwakuwa mzigo utafika tu. Ushapakiwa kwenye ndege tatizo njia uliotumia huwa inakawia itabidi usubirie zaidi. Wasiliana na seller siku zikiisha kabla ya dispute.

Hizi dispute zenu tena za sh. 2000 zinafanya sellers wengi wasi opt kutuma mizigo huku kwetu
Unieleweshe! Maana ake nini au ndo siku 60 za protection zinaisha ni open dispute.. View attachment 1271821View attachment 1271823
 
Muda unaelekea kwisha, lakin hata ukiisha huna haja ya kufungua dispute kwakuwa mzigo utafika tu. Ushapakiwa kwenye ndege tatizo njia uliotumia huwa inakawia itabidi usubirie zaidi. Wasiliana na seller siku zikiisha kabla ya dispute.

Hizi dispute zenu tena za sh. 2000 zinafanya sellers wengi wasi opt kutuma mizigo huku kwetu
Me sijaopen dispute na sijawahi! Mzigo wenyewe wa $2 niopen dispute siku utakapofikia tu sawa sina haraka nao..
Screenshot_20191125-115018.jpeg
 
Back
Top Bottom