Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kwasababu mzigo bado hujawa shiped nieongea na seller kama vp anibadilishie kwa redmi note 8
Amesema atanijibu
Mkuu wala usifadhaike moyoni mwako. Hiyo kitu ikija huwezi shindwa kufurahia simu yako. Wala hilo sio tatizo la kusema simu inakasoro maana wameweka resolution ya 720 itakusaidia sana upande wa ukaaji wa chaji.
 
Inategemea na matumizi yako, ila kwa mimi niliona hainifai , nikaamua nijikaze kwa mi 9t pop up camera
Nimepitia reviews mbalimbali naona wanaikosoa kutokuwa na full hd,, na contrast yake sio nzuri
Sasa hapa nabaki njia panda
-1087776810-1886173747.jpeg
 
Back
Top Bottom