Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Huyu mnyama nimemchukua kariakoo ila bei ndefu kidogo tofauti na kuagiza online
20191123_164240.jpeg
 
Pamoja mkuu kimsingi nilikuwa nimechoka tu si kingine, ahsante kwa maneno ya hekima...by they nikutakie jpili njema
You guys mnenifurahisha mlivyojibizana, na hivi ndivyo ambavyo real gentleman wanapaswa kua. Nyuzi nyingine pangewaka moto, mbarikiwe kwa hekima na busara zenu wakuu.
 
Unieleweshe! Maana ake nini au ndo siku 60 za protection zinaisha ni open dispute..
Screenshot_20191125-070711.jpeg
Screenshot_20191125-070806.jpeg
 
Ungekuwa mvumilivu kwa hii pesa ungekuwa na simu yenye spec. Kali mkuu.


But enjoy. Ndio matumizi ya pesa
Unavyotumia pesa ndivyo unavyojaaliwa kupata akili ya kusaka nyingine zaidi...! Sio unatunza pesa bank hazina faida kwako ila unafaidisha wenye bank , Tumia pesa kwa mambo unayotamani kuwa nayo ili roho yako itakate hayo ndo matumizi ya pesa sio unajinyima mpaka roho inanyong'onyea hadi unajionea huruma,,,, Mwishoe unaugua bure kwa msongo wa mawazo...
 
Back
Top Bottom