PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,516
- 13,269
It builds up your immune system.Hapo ndo ukute kuna mijitu kama 10 na yote inakula kwa mikono kwenye hilo sinia.
Uchafu squared.
It builds up your immune system.
Hapo ndo ukute kuna mijitu kama 10 na yote inakula kwa mikono kwenye hilo sinia.
Uchafu squared.
Kule kwetu Kwamtogole hapo ni harusini, tena hilo sinia ni la marafiki wa karibu wa bwana harusi, mmepewa heshima yenu watu kama 7-10 hivi.Hapo ndo ukute kuna mijitu kama 10 na yote inakula kwa mikono kwenye hilo sinia.
Uchafu squared.
Mkuu ndo maisha yetu huku uswazi tumesha zoeaHapo ndo ukute kuna mijitu kama 10 na yote inakula kwa mikono kwenye hilo sinia.
Uchafu squared.
Mkuu ndo maisha yetu huku uswazi tumesha zoea
Mkuu sherehe za huku uswahilini bado tunakula kwa mtindo huo!Hivi kuna watu bado wanakula kwa mtindo huo kweli?
Maana kwenye sherehe zote ambazo nimehudhuria miaka ya hivi karibuni sijapata kuona popote pale watu wakila kwa namna hiyo.
Tupo wawili tuHapo ndo ukute kuna mijitu kama 10 na yote inakula kwa mikono kwenye hilo sinia.
Uchafu squared.
Hahahhah aisee daaah yaani sipendi kula msosi wa kushare kama hivyo kama ikitokea lazima nipate kichefuchefu na kutapikaHapo ndo ukute kuna mijitu kama 10 na yote inakula kwa mikono kwenye hilo sinia.
Uchafu squared.
Bwashe, hapo sikubaliani na ww..... Usituletee tamaduni zenu za kuchora hapa. Huna asili yako wewe?? Huko kwenu wanakula na nini??Hapo ndo ukute kuna mijitu kama 10 na yote inakula kwa mikono kwenye hilo sinia.
Uchafu squared.
Ambacho hukubaliani na mimi ni nini?Bwashe, hapo sikubaliani na ww..... Usituletee tamaduni zenu za kuchora hapa. Huna asili yako wewe?? Huko kwenu wanakula na nini??
Pata picha mtu anakula kwa mkono halafu anauramba mkono wake kabla haujarudi yena kwenye sinia....Hahahhah aisee daaah yaani sipendi kula msosi wa kushare kama hivyo kama ikitokea lazima nipate kichefuchefu na kutapika
Kulamba mkono na kurudisha tu! kwenye sinia unasema uchafu...!!Pata picha mtu anakula kwa mkono halafu anauramba mkono wake kabla haujarudi yena kwenye sinia....
Hapana kwa kweli.