Wale wapenda ubwabwa karibu tupate mlo!

Wale wapenda ubwabwa karibu tupate mlo!

Hapo ndo ukute kuna mijitu kama 10 na yote inakula kwa mikono kwenye hilo sinia.

Uchafu squared.

Kwani kula kwa mikono ni uchafu? tusipende kuiga iga. Mimi ninaona safi tena ndiyo desturi yetu. Na si vibaya kula kwa kijiko ndiyo uzungu. So kula kwa mikono SIO uchafu.
 
  • Thanks
Reactions: 9mm
Kwani kula kwa mikono ni uchafu? tusipende kuiga iga. Mimi ninaona safi tena ndiyo desturi yetu. Na si vibaya kula kwa kijiko ndiyo uzungu. So kula kwa mikono SIO uchafu.
Umesoma nilichokiandika lakini hata hujakielewa!
 
Mbona chini kuna pilau, mzee ulikuta mama ntilie ameshauza kila kitu. Ukaomba makoko au vipi
 
Umesoma nilichokiandika lakini hata hujakielewa!

Jamani si umesema,"Hapo ndo ukute kuna mijitu kama 10 na yote inakula kwa mikono kwenye hilo sinia.

Uchafu squared."

Unajua katika kiswahili kuna kieleze na kivumishi na kisifa. Badala ya uchafu squqred tuweke " itakuwa Bonge la vurugu" inabadirisha sana hiyo maana yako.
 
Mbona hujaikoleza sentensi yote?

Hayo maneno ambayo hujayakoleza yanasemaje?
 
Labda kizazi kipya ndio wanashangaa hii, ila tumekula sana kwa style hyo hasa kwenye mashughuli hata kwenye familia,
Ustarabu wa kila mtu na plate yake tumeuanza miaka si mingi.
alafu hua tunadharau tu ulaji wa hivi ila trust me,hua inaleta sana upendo na undugu,hata watoto wako nyumbani penda kuwapa chakula kwa mtindo huu,wanakua kwa upendo sana maishani mwao
 
  • Thanks
Reactions: 9mm
Hivi kuna watu bado wanakula kwa mtindo huo kweli?

Maana kwenye sherehe zote ambazo nimehudhuria miaka ya hivi karibuni sijapata kuona popote pale watu wakila kwa namna hiyo.
[emoji86] [emoji86] [emoji86] hayo utayakuta misibani hasa kule kwetu kijiji cha ujamaa kata ya mtakuja
 
Kulamba mkono na kurudisha tu! kwenye sinia unasema uchafu...!!

(hapa naona mapichapicha fulani ya bongo movie)

sio ajabu kuwa miongoni wa wanaenda kwenye chumvi...!

MSITUIGIZIE MAISHA NYIE WATOTO WA KIAFRIKA.....!!
Wabongo watz watu Wa ajabu sana ... Wanaramba wuchi wanaramba mikunduuu wanakamba mpaka nyayo za wanawake lakn kulamba Mkono wanasema uchafu[emoji23] [emoji23] mwafrika atabaki kuwa mwafrika tu
 
Jamani si umesema,"Hapo ndo ukute kuna mijitu kama 10 na yote inakula kwa mikono kwenye hilo sinia.

Uchafu squared."

Unajua katika kiswahili kuna kieleze na kivumishi na kisifa. Badala ya uchafu squqred tuweke " itakuwa Bonge la vurugu" inabadirisha sana hiyo maana yako.
Kisifa???;;; hahahaaa na kivumishi kinaingia wapi?
 
napenda kula hivyo! saanaaaa! menu inakuwa na utam wa pekee
 
Labda kizazi kipya ndio wanashangaa hii, ila tumekula sana kwa style hyo hasa kwenye mashughuli hata kwenye familia,
Ustarabu wa kila mtu na plate yake tumeuanza miaka si mingi.
Kama kawaida enzi za kugawiwa finyango ya nyama mkononi kila mmoja
 
Hapo ndo ukute kuna mijitu kama 10 na yote inakula kwa mikono kwenye hilo sinia.

Uchafu squared.
Mkuu inaitwa culture! Nenda uchagani, iringa na pombe nyingine za kienyeji uone unywaji wake
 
Back
Top Bottom