Nmekumbuka zamani baba alikuwa anasema yeye ali ubwabwa apikiwe ugali sikuwa najua maana yake..Leo nmetambua jana ilibidi niseme nmeshiba ili watoto wale iilihali njaa inaniuma aisee kuwa baba sio mchezo mungu atubariki watafutaji wote tunaotafuta ..unaamka hasubui ujui unaelekea wapi na jioni inabidi urudi na chochote ..ukikaa pekeako unalia bdae unanyamaza unaamka unaendelea na safari ..wababa Mungu atutunze