Wale wanaume mnaopiga wake zenu


Mkuu yatupasa kuzizuia hasira zetu kama wanaume, yani Kofi kabisa la maana unampiga mtoto wa kike?? Daaaah inauma
 
Tukiweka katika asilimia kuhusu kupigwa wake

30% Ulevi wa mume
60% Maneno yanayokera kutoka kwa wake
5% Mwanamke kuchepuka
5% sababu nyinginezo
Hii ya kuchepuka hapigwi cheif zarau hizo azabu yake ni moja tu
 
Kupiga au kutopiga mwanamke inategemea na asili ya mtu..
Kwa sababu kuna wanawake nao wanatafuta kupigwa na waume zao kutokana na maneno machafu alafu unakuta mumewe sio muongeaji sana!!
 
Hivi mnafikiri tuna enjoy sex baada ya kipigo?
Hii nakupinga kuna rafiki yangu tulipisha kauli nikachukia nikamramba vibao hafu nikasepa akanifata kuniomba msaamaha nlipokubali akanipa kumbato zito na kushika chini yupo ndembendembe siku hiyo ndo alitoa mzigo kuliko siku zoteeee
 
" mwanamke hapigwi kwa upinde wa panga wala khanga _"

In harmonize's voice....
[emoji444] [emoji443] [emoji91] [emoji441] [emoji16] [emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…