Wale wanaojua Hisabati na Hesabu tukutane hapa

Wakulonga

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
762
772
Toa jibu lako wewe mwana hisabati
649E75A0-0A69-4289-B913-BECDEB0D3E76.jpeg
 
Toa jibu lako wewe mwana hisabati
View attachment 1052160
Hapa ukitumia ile calculator inayokuja by default na smartphone jibu utapata 9 lkn ukitumia scientific calculator(Au app yyt ya scientific calculator) jibu utapewa 1.

Hii tofauti inatokana na operator precedence mechanism zinazotumiwa hapo coz kuna mwaka fln hv BODMAS iliboreshwa na ikatengenezwa version mpya ya sheria ya kuongoza kufanya hesabu kama hizo. Sasa system zilizokuwepo kabla ya BODMAS kuboreshwa zitatumia old BODMAS na kukupa 1 kama jibu. Lkn systems zilizoadopt hio rule mpya(kama vle hzi smartphones) ya BODMAS zitakupa 9
 
Hapa ukitumia ile calculator inayokuja by default na smartphone jibu utapata 9 lkn ukitumia scientific calculator(Au app yyt ya scientific calculator) jibu utapewa 1.

Hii tofauti inatokana na operator precedence mechanism zinazotumiwa hapo coz kuna mwaka fln hv BODMAS iliboreshwa na ikatengenezwa version mpya ya sheria ya kuongoza kufanya hesabu kama hizo. Sasa system zilizokuwepo kabla ya BODMAS kuboreshwa zitatumia old BODMAS na kukupa 9 kama jibu. Lkn systems zilizoadopt hiovrule mpya ya BODMAS zitakupa 1

Ila kama mtoto wa shule akikuuliza hilo swali bora umpe jibu ni 1, coz ukitumia old BODMAS unapata 1 na syllabus nyngi ndizo bado zinashauri hivyo. Ila kwa maswala ya programming na advanced applied maths jibu hapo inabidi liwe 9 coz hapo inabidi utumie the new rule ambayo iko accepted worldwide kwa sasa. Kwa new rule hio expression ni sawa na 6÷2×(2+1) = 9
 
Back
Top Bottom