Aahahahaaaa.Hapo kwenye red ni utratra..kwani Mamdenyi ni SHE au HE AU shemale?
Sawa tutawacha ugomvi.. kwa masuala ya kuchinja yapo beyond chitchat tuwaachie jukwaa la stress.Na kwa kuanzia tu.
Jiwe Linaloishi nimefuta deni..
..copy Mtambuzi
umenielewa vibaya naona unakoenda si kuzuri sijagombana na mtu yeyote humu ndani labda huyo mtu agombane nami lakini mm ni mtu poa sana mkitaka kujua habari zangu mwambie Nicas Mtei na mume wangu wao wanajua zaidi kabisa,
kuna habari yoyote kuhusu wewe ambayo mimi naijua?
we deni nalokudai unalijua toka mwaka jana ulinibook mpaka leo umeniacha nadoda ndio maana umeshindwa hata kutaja deni lenyewe.
Ingekuwa jambo la busara tungegombea kuchinja watu ambao ni wala rushwa, mafisadi, na wezi wa mali za umma kama china kuliko kugombea kuchinja kitoweo.
kuna habari yoyote kuhusu wewe ambayo mimi naijua?
Mkwe haujambo?
Unataka nikupe zawadi leo?
haaa! jamani yani inamaana kuwa hujui habari zangu acha kukataa hapa katika kadamnasi habari zangu wazifahamu sana tena sana sema tu wajishaua wewe unajua kabisa au unataka nimwambie .................! kuwa wewe .............? (utajaza mwenyewe hapo)
Mkwe haujambo?
Unataka nikupe zawadi leo?
huo mkwe ulianza lini jamani hebu tuambiane halafu utakuwa unapendelea huwezi kumpa zawadi mtu mmoja hususani ndugu yako kwani sie wengine hutuoni kwanini hutupi hiyo zawadi acha uchoyo na ubinafsi huo ni dhambi
Mkwe
Hahahahaa.jamani ladyfurahia mbona huyu Nicas Mtei anakukana live kabisa..Hebu muwekee details yeye si anajifanya kishoka.haaa! jamani yani inamaana kuwa hujui habari zangu acha kukataa hapa katika kadamnasi habari zangu wazifahamu sana tena sana sema tu wajishaua wewe unajua kabisa au unataka nimwambie .................! kuwa wewe .............? (utajaza mwenyewe hapo)
Hahahahaa.jamani ladyfurahia mbona huyu Nicas Mtei anakukana live kabisa..Hebu muwekee details yeye si anajifanya kishoka.
Mie nalog off.maana hali si hali.nashangaa kupewa jukumu la kutoa habari nisizozijua....
Mie nalog off.maana hali si hali.