Wale wa non priority poleni sana.

Hii avatar haipendezi, inaonyesha na ku-confirm kuwa waafrica, kama wanavyosema wazungu wanajua/umahili wao ni mambo matatu- Kucheza Ngoma, kuoa/ku...t..mba, na kunywa pombe. Avatar kama hiyo ya nini ndugu!

mboni unatoa lugha kali sana au unstress ndugu siku ya leo..
 
Aliyekwambia sijasoma nani? Hivi yule kibushuti uliyemuhonga then akakutosa ukaenda kulialia kule MMU ndo anakupa wendawazimu mpaka leo? Bishana kwa hoja dada sio unaleta taarabu hapa sawa wewe. . .

we kinyesi kweli,cjawah peleka ***** kama huo unaouöngea huko MMU.
 
Wale wa DSM salini sana mpate hata 0%, maana huku bei zimepandishwa kwanzia nxt semester. Hostel zimepandishwa kwa 100% zote(off na main cmps), chakula nacho hakikuachwa nyuma, kimeongezwa japo kwa kiwango kidogo but its enough to start a riot. Mgomo wa mwaka huu sipati picha
 
Kwa mchanganuo wangu frm the citizen mpaka sasa non-priority ni watu 13,152 wamepata mkopo,
 
Labda nikuulize binti kuna tofauti gani ya Gazeti la Mwananchi na The Citizen? Nijibu then nikuone ulivyo. . . Au lugha?

hivi kumbe Perry ni wa kike(binti)? ndo nimejua leo,hata hvyo acheni kubishana coz mwisho wa siku mtaanza kupunguza stress za heslb kwa kutukanana.
 
Aliyekwambia sijasoma nani? Hivi yule kibushuti uliyemuhonga then akakutosa ukaenda kulialia kule MMU ndo anakupa wendawazimu mpaka leo? Bishana kwa hoja dada sio unaleta taarabu hapa sawa wewe. . .

JAMAN...punguzen jazba!!!
 
kwa hyo kwa sababu yanatolewa na kampuni moja unadhan vilivoandkwa humo viko sawa.jipange wewe..me nilichokiandka hapo nina uhakika nacho,cjakurupuka kama wewe kuja kutoa lugha za kihanisi hapa jf kama wewe.we kinyesi kweli,cjawah peleka ***** kama huo unaouöngea huko MMU.achana na huyo punga mkuu,me ni wa kiume bana.
jamani Perry na Ipycalypse hili ni jukwa la wasomi...jitahidini sana kuzuia hisia zenu!!! a wise man is always controlled by his intelect and not his feelings....kuwen makin tusije waweka kwenye magroup ya watu wavivu wa kufikiria......
achana na huyo punga mkuu,me ni wa kiume bana.
 
Back
Top Bottom