Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Kulingana na takwimu zilizotolewa na heslb,ni wanafunz 6800 wanaosoma kozi zenye non priority ndio wamepata mkopo.asa ukipga mahesabu ya haraka haraka hapo,udsm penyewe kuna watu zaidi ya 3000 wanaosoma hzo kozi zisizo za kipaumbele,udom nao wako zaid ya 2000,hapo cjazungumzia bado saut,mzumbe etc.kazi ipo mwaka huu