Uji wa bulgar ulichanganywa na sukari na maziwa, ulikuwa wa njano. Shule tuliimba kwa bidii tukisubiri kuweka vikombe vyetu.Hahaaaa umekunywa uji wa buluga ilikuwa kwa hisani ya Watu wa ITALY.
@H.ivo vidude tulikuwa tunatozwa hela kuangalia.
Hahaha nilikuwa form 4 nabundi Physics maana ilikuwa inanipa shiida.Mhenga mwenzetu mwaka 1976 nilikuwa ninakwenda nursery kwasababu ya uji wa bulgar ulioletwa kwa hisani ya watu wa Marekani
Twambizanne nasisi ilikua nini jamaniii. Ndo matunguli yako au
Ni still picture video unaziona picha kama kwenye hadubini na ukitaka kuforward kuna button unabofyaTwambizanne nasisi ilikua nini jamaniii. Ndo matunguli yako au
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Vilikua vinyonyesheo vya watoto labda..maana wahenga hawataki kusema ili na sisi kizazi cha Mzee Mwinyi tujue.Twambizanne nasisi ilikua nini jamaniii. Ndo matunguli yako au
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na ni kweli mlikua mnalipia ili kuona hivyo vidude?Ni still picture video unaziona picha kama kwenye hadubini na ukitaka kuforward kuna button unabofya
Ok sawa,jee kipindi hicho Lowasa alikua serikalini?Ni kweli kabisa mimi changu mademu walikuwa wanalipa nusu bei
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna Jirani yetu mmoja henzi hizo alirudi toka ulaya ndo akaja na hiyo cinema, tulikuwa tunapangana nyumbani kwake kuangalia cinema kwa zamu zamu. ipo siku niliwahi foleni saa 12:30 Asbh nilifanikiwa kuona hiyo Cinema saa 10 Jioni.
Huyo Jirani ni mhaya design si akaanza kuleta uhaya wake eti akawa ajifanya mzungu kazoea ulaya, anatigisha kichwa kwa nyuma afu anafanya kama anarudisha nywele Nyuma kama mzungu kana kwamba nywele zinaziba macho.
Kweli [HASHTAG]#Tumetokambalipamoja[/HASHTAG]
Mkuu mimi ni wa early 90's lakini nalifafahamu hilo dude. Nahisi kipindi hicho ndio yalikua yanamalizikiaWe ni wa mwaka 94 nini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
wajuzi tu hapo mkuuWe ni wa mwaka 94 nini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
nilikuwa nataka nipite bila kuchangia chochote kwenye uzi huu lakini mkuu kwa comment yako nimeshindwa kujizuia!Nyingine Tulikuwa Tunatengeneza Za Makopo Tulikuwa Tunaweka Picha Za Wadada Tunazitoa Kwenye Makasha Ya Sabuni