Wale wa enzi zetu

Hivi siku hizi vipo hivyo ??
Vipo sana angalia simu yako kuna app inaitwa gallery. Vya sasa ni digital. Kifupi hizo ni picha za mnato zimetunzwa kwenye slides. Kutizama unazungusha hio slides kwa kukliki hicho kitufe cha kulia. Simple tu.
 
Slide show
 
Hivyo miaka ya nyuma walikuwa wanakuja navyo watu wanaotoka kuhiji Makka
Sikumbuki uzuri kama gharama zake za kuangalia ilikuwa senti hamsini (thumni )au shilingi moja aaah ilikuwa ndio fashion hiyo unapaona makka (mecca )nafsi yako ina burudika kabisa. Waqt sijui umekwenda wapi!
 
Kweli kabisa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…