Wale wa BITCOIN wameshatapeliwa

Wale wa BITCOIN wameshatapeliwa

Asante sana... Nimejikuta najiona mpumbavu, sikuwa makini kwenye kuchangia.... Isingewezekana kitu kikubwa kama hicho taarifa zake za siri awe nazo mtu mmoja tuu...
Kuna lose ends nyingi zinazohitaji clarification

Jr
Nashukuru umeelewa.

Yani hapo BITCOIN ni mfano wa Mpesa, mteja mmoja wa vodacom kufa na password yake ya Mpesa ikiwa na hela haiwaathiri chochote wateja wengine.

Sifanyi Bitcoin, na naamini ipo siku Bitcoin itaanguka. Ila sio kwa style hii wanayoiongelea wabongo bila research. Eti mtu anafananisha bitcoin na D9, like serious? no research no right to speak!

- KANA -
 
Huyo alieleta mada naweza nikampuuza kwakuwa nina uhakika hajui ni nini anacho kiongea, ila nasikitishwa mchangiaji mjuaji ambaye hajui hata nini anachokiongea..! Nibusara kujifunza baada ya hapo utajua pumba au uzito wa kitu unachokiongea..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru umeelewa.

Yani hapo BITCOIN ni mfano wa Mpesa, mteja mmoja wa vodacom kufa na password yake ya Mpesa ikiwa na hela haiwaathiri chochote wateja wengine.

Sifanyi Bitcoin, na naamini ipo siku Bitcoin itaanguka. Ila sio kwa style hii wanayoiongelea wabongo bila research. Eti mtu anafananisha bitcoin na D9, like serious? no research no right to speak!

- KANA -
bado kukiwa na uthibitisho wa hati ya kifo na proof ya viambatanisho vya madeni, usia na hati ya urithi pesa inatoka

Jr
 
Bitcoin haiwezi kufa, kwa sababu haina mtu atakayeiua, zaidi sana ni kusema hiyo ndo future money, bitcoin ndo sehemu safe ya kuhifadhi pesa labda internet ife ndo bitcoin itakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Jamaa wa Bitcoin walikuwa wakijitapa sana kuwa wamekuwa matajiri, yale leo wamepokea taarifa mbaya ambayo hawajawahi kuipata.

Mwanzilishi wa Bitcoin Bw. Quadriga CX amefariki dunia na wanasema yeye ndio alikuwa na password ya kuingia kwenye hiyo account iliyokuwa na dollar milioni mia mbili ambayo ni sawa na bilioni mia mbili hamsini.

Hivyo watu wengi duniani wakiwepo watanzania wenzetu wamepigwa pesa zao. Namaliza kwa kusema kuwa ''UKIITWA KWENYE FURSA BASI UJUE WEWE NDIO FURSA''
Huendda hukuelewa kwa maana bitcoin zilizoko kwenye mzunguko ni zaidi ya tillions hata 20 za kitanzania we waongela bilion 200 tu????
Na mwanzilishi wa Bitcoin mbona hajulikani we umejulia wapi mkuu? Na bitcoin haiwi centralized kusema ina run within a single PC
 
Acha

Acha uzushi, BİTCOİN sio jambo rahisi kama sentensi zako.Bitcoin ni mfumo hivyo kama mfumo haupo mtandaoni sawa, kumbuka Dunia inamagwiji wa cumputer ambao hawashindwi kuingia na kufanya wanachotaka ktk huo mfumo.Wazungu huw hawabahatishi mambo.
 
Naona mleta mada amepotosha ukweli, ama kwa kujua au kwa kutokujua. Maana ameandika kuwa mmiliki wa Bitcoin ni Quadriga CX...kitu ambacho si kweli.

Ukweli ni kuwa aliyefariki anaitwa Gerald Cotten ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa taasisi iitwayo Quadriga ambayo kwa Canada ndiyo platform kubwa ya exchange ya Cryptocurrencies.
Hiyo kampuni ya Quadriga katika platform yao walikuwa na namna ya kuzitunza cryptocurencies za wateja wao offline ktk mfumo ujulikanao kama "cold wallet"

Na ni bw. Gerald Cotten pekee ndiye alikuwa na access ya hizo digital coins...ambapo kifo chake kimepelekea kampuni ya Quadriga kushindwa ku-retrieve currencies hizo zenye thamani inayokisiwa kuwa $145 milioni...ambazo ni za wateja wao wapatao laki 1.

Kampuni hiyo inaangalia uwezekano wa kuwa refund hao users wa platform yao...japokuwa hilo linaonekana kuwa changamoto kidogo.

https://edition.cnn.com/2019/02/05/..._content=2019-02-05T11:31:08&utm_source=fbCNN

Hapo juu CNN wameeleza kwa kina...ila mleta uzi ameamua kutuhadaa.
 
"Usichokijua ni sawa na usiku wa Giza" mleta mada umejaribu kuelezea kitu ambacho hukijui hata robo. Yule zile zilikuwa hela zake yeye na sio eti hela zote za Bitcoin. Haina tofauti na mtu akafa na password za M-Pesa yake hii itamaanisha ni zile peza zake pekee ndio zitakuwa zimepotea na sio pesa zote za Tanzania zilizoko kwenye mzunguko wa M-Pesa. Huyo jamaa amekufa na mabilion yake bila kumpa mtu password yake na kwenye Bitcoin hakuna central place ya kufanya retrieval ya hiyo password, hivyo ni pesa zake tu ndio zimepotea kwa kuwa hakuna namna ya kuzirudisha na sio pesa zote za Bitcoin.
Mimi bado natumia Bitcoin kwenye kudeposit hela kwenye account yangu ya skrill very swiftly and conveniently.

Sent using Jamii Forums mobile app
nafikiri bado hujakubali kuwa umepigwa. kasome vizuri hapo.

"Following the death of the CEO of Canada’s largest cryptocurrency exchange, QuadrigaCX, investors were locked out of $190m ($145m) in cryptocurrency assets as the owner was the only person who knew the password to access holdings."

www.indiaglitz.com/cryptocurrency-exchange-quadrigacx-founder-ceo-dies-investors-unable-to-access-190m-funds-tamil-news-228974
 
Kwenye hiyo bolded heading, unaelewa nini anavyosema "Canada's largest cryptocurrency exchange"?

Je, kuna uhusiano upi na traders wa cryptocurrency Tanzania?

Naomba ufafanuzi kidogo mkuu!

- KANA -
 
nafikiri bado hujakubali kuwa umepigwa. kasome vizuri hapo.

"Following the death of the CEO of Canada’s largest cryptocurrency exchange, QuadrigaCX, investors were locked out of $190m ($145m) in cryptocurrency assets as the owner was the only person who knew the password to access holdings."

www.indiaglitz.com/cryptocurrency-exchange-quadrigacx-founder-ceo-dies-investors-unable-to-access-190m-funds-tamil-news-228974
Sasa hii hatoshi kuifanya Bitcoin na cryptocurency vife kwa ujumla. Zimepotea dola million 145 kwenye mtaji wa billion 59B wa Bitcoin pekee achana na sarafu zingine alafu useme Bitcoin imekufa? Are you retarded?
Bongo kila mtu anajifanya expert wa finance wakati ni ushuzi tu.
Angalia hiyo market capitalization ya kila sarafu afu ndio utajua hiyo $145m hata haijatikisa soko wala uwekezaji wa crypto.
Ni sawa na M-Pesa ipotee million 3 kwenye circulation afu useme M-Pesa itakufa. Maaavi.
Screenshot_2019-02-07-18-19-58.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we mleta uzi jiepushe sana na kuzungumzia kitu usichokijua au kama hujui lugha ya malkia jaribu basi kuchukua short courses angalau na wewe ufananefanane kidogo na sisi.

Huyo dogo aliyekufa alikuwa ni CEO wa mtandao mmoja huko Canada wa kubadilisha cryptocurrency na wala si mwanzilishi wa bitcoin na kilichotokea ni kwamba kafa bila kumuachia mtu yeyote private keys
 
Tuwekane sawa hapa

Mwanzilishi wa bitcoin ni mtu ambaye alijulikana kama Satoshi Nakamoto , pia haijawahi kufahamika huyu mtu ni nani na yupo wapi

Bitcoin haimilikiwi na mtu yoyote, mfano pesa ya tanzania inamilikiwa na serikali lakini bitcoin haimilikiwi na mtu wala taasisi

Bitcoin haisimamiwi na taasisi yoyote wala mtu na itaendele kuwepo hivyo

Mtoa mada fanya utafiti kabla ya kutoa thread
Duhuu Mimi mweupe hapo , nahisi Kama Mimi ndio mliki wa Bitcoin ngoma nijitangaze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Usichokijua ni sawa na usiku wa Giza" mleta mada umejaribu kuelezea kitu ambacho hukijui hata robo. Yule zile zilikuwa hela zake yeye na sio eti hela zote za Bitcoin. Haina tofauti na mtu akafa na password za M-Pesa yake hii itamaanisha ni zile peza zake pekee ndio zitakuwa zimepotea na sio pesa zote za Tanzania zilizoko kwenye mzunguko wa M-Pesa. Huyo jamaa amekufa na mabilion yake bila kumpa mtu password yake na kwenye Bitcoin hakuna central place ya kufanya retrieval ya hiyo password, hivyo ni pesa zake tu ndio zimepotea kwa kuwa hakuna namna ya kuzirudisha na sio pesa zote za Bitcoin.
Mimi bado natumia Bitcoin kwenye kudeposit hela kwenye account yangu ya skrill very swiftly and conveniently.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo bwana,,hata alichopost hapa hajui,,,kwanza tuu afikirie,,yaan watumiaji wa Btc dunian ni $200000000 tu??? Nafkir just half of africa wamezidi hio amount,,, ulichomweleza ndio sahihi,,,,tena basi pesa hio ni kwamba imepotea hata cetral collection ya btc hawawez ipata ni kwamba kafa na pesa yake..leo tu nimefanya miamala kadhaa...alafu jaman watanzania jaribun kufanya research jambo kabla hamja changia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bitcoin imeundwa kwa mfumo wa kiteknolojia ya 'blockchain'.
Founder hana maana. Haina admin.

Pia, thamani ya bitcoin imekuwa ikiporomoka vibaya mno kwa miezi mingi sasa.
Thamani hiyo haiwi controlled wala supervised na mtu yeyote wala chombo chochote. Na huo ndo upekee wa 'currencies' kama bitcoin.
Thamani yake inajitengeneza kutokana na demand yake (na somewhat supply).

So, haijalishi hata kama amevuta. Mfumo unajiendesha na saikolojia ya wanayoitumia, bas.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wengi sisi ni vilaza..na kila mtu anajifanya expart kwenye kila jambo..

Mtu hata ajui bitcoin ni nini,anaandika tu uzushi

Nanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom