Wale wa BITCOIN wameshatapeliwa

Wale wa BITCOIN wameshatapeliwa

Kwa wajuzi wa hizi Cryptocurrency, habari zenu

Leo thamani ya Bitcoin ni 1 Bitcoin equals 8,146.97 United States Dollar

Nini kimefanya thamani Bitcoin kuanza kupanda tena?
Je hii inaweza kuwa thamani ya msimu tuu au ndiyo imeanza kufufuka tena?
Je zile changamoto za kisheria ambazo hata aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa IMF Christine Lagarde aliwahi kuzitaja zimeshashughulikiwa?

Nawakilisha.


Ahsante
 
Wakuu,

Jamaa wa Bitcoin walikuwa wakijitapa sana kuwa wamekuwa matajiri, yale leo wamepokea taarifa mbaya ambayo hawajawahi kuipata.

Mwanzilishi wa Bitcoin Bw. Quadriga CX amefariki dunia na wanasema yeye ndio alikuwa na password ya kuingia kwenye hiyo account iliyokuwa na dollar milioni mia mbili ambayo ni sawa na bilioni mia mbili hamsini.

Hivyo watu wengi duniani wakiwepo watanzania wenzetu wamepigwa pesa zao. Namaliza kwa kusema kuwa ''UKIITWA KWENYE FURSA BASI UJUE WEWE NDIO FURSA''
Una uhakika Kaka? Watu wanapiga pesa na hakuna mtu yuko na password wala hakunaga kitu kama hicho
 
Asante sana... Nimejikuta najiona mpumbavu, sikuwa makini kwenye kuchangia.... Isingewezekana kitu kikubwa kama hicho taarifa zake za siri awe nazo mtu mmoja tuu...
Kuna lose ends nyingi zinazohitaji clarification


Jr
Karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom