BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,837
Wakuu,
Jamaa wa Bitcoin walikuwa wakijitapa sana kuwa wamekuwa matajiri, yale leo wamepokea taarifa mbaya ambayo hawajawahi kuipata.
Mwanzilishi wa Bitcoin Bw. Quadriga CX amefariki dunia na wanasema yeye ndio alikuwa na password ya kuingia kwenye hiyo account iliyokuwa na dollar milioni mia mbili ambayo ni sawa na bilioni mia mbili hamsini.
Hivyo watu wengi duniani wakiwepo watanzania wenzetu wamepigwa pesa zao. Namaliza kwa kusema kuwa ''UKIITWA KWENYE FURSA BASI UJUE WEWE NDIO FURSA''