chigalaganza mavyeteWewe umewaona wapi mwenzetu siku hizi?
Bioluminescence, nafahamu kuna jamii za samaki waishio vina virefu baharini wanazoWakuu hivi wale wadudu wanaowaka usiku mnaweza kujua kwa nini
Wanawaka wanawaKA kupulika kama mnara
Nijuzeni hawa wadudu huku ni wengi sana.....!
Je huwa inasababishwa na nini?
NIJUZENI..!
- Mzigua_255
- Replies: 73
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Serikali iliwafungia kwa kesi ya uhujumu uchumi, maana wanasema muwekezaji TANESCO ilikuwa inapata hasara kwa kumulika majumbani bila vibali wala leseni...vina mwaka sasa tangu vihukumiwe..Hivi wale wadudu wanaowaka taa; vimulimuli. Wamepotelea wapi siku hizi?
Ha ha haa! Huko mahabusu patakuwa panawaka sana. Najitolea kuwa wakili waoSerikali iliwafungia kwa kesi ya uhujumu uchumi, maana wanasema muwekezaji TANESCO ilikuwa inapata hasara kwa kumulika majumbani bila vibali wala leseni...vina mwaka sasa tangu vihukumiwe..