Wale tunaolea mbinu gani ya kumfanya mtoto aache mwenyewe kunyonya?

Kunyonyesha rahaa usimuachishe akinyonya najiskia rahaaa kunamda akitulia linawasha linataka kinyonywa weeee
 
Sio lazima umkwaze. Cha kwanza muamishe usiwe unalala nae Kama upo Karibu Na bibi YAKE unamuacha uko wiki moja tu au mbili , au ataria watambeleza ataamka atasikia njaa atakula Na Kama kuna watoto wenzie anacheza nao pamoja baada ya wiki au mbili unaenda kumchukua huku nyonyo umeifunika Na bandegi akiona anaogopa unamwambia dudu hii ah basi mmeachana kwa AMANI. Naushari mnyonyeshe hadi miaka miwili sio vizuri kumuachisha mapema.
Nimechekaaa
 
Tena huwa wananyonya huku wanarusha rusha tu miguu huku na huko kuashiria mzuka wanaopataga sio wa dunia hii na ndo ujue mungu sio wa mchezo mchezo....
Mkuu nimeangalia DOGO hapa anavyonyonya akirusha miguu na kushikilia titi jingine imebidi tu nichekeeee
 
miaka 1.5 bado aikifikisha miaka 2 ndio ideal. unless umeshamtafutia mdogo wake.

Kubwa ni kumjenga kisaikolojia yeye ni mkubwa hapasi kunyonya, pili acha kulala nae usiku mhamishe chumba siku mbili za mwanzo atalia lakini kubali makelele yake kwa muda.

Jiulize ananyonya muda gani, je ananyonya kwa sababu ya njaa ama ni ule utamu wa maziwa? Kama ni njaa hakikisha muda ule wa nyonyo anapata kitu cha kula/maziwa fresh vuguvugu. vinginevyo mpeleke ukweni kwa siku chache umwache huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom