Mtoto wa mwenye nyumba kanipenda

Jan 6, 2022
26
140
Wadau nipeni ma mbinu hapa nilipoamia Kuna mtoto wa mwenye nyumba mmoja mkali kinoma cheupe Sana sasa kameanza kuniangalia angalia macho ya kunitamani.

Wakuu namtumia mbinu gani kukachakata.

Na je wadau kukwepa msala penzi lisije kujulikana kama mtoto akijaa nitumie ma mbinu gani.

Maana babaake ni noma sana akijua msala.
 
_20240223_233627.JPG
 
Wadau nipeni ma mbinu apa nilipoamia Kuna mtoto wa mwenye nyumba mmoja mkali kinoma cheupe Sana sasa kameanza kuniangalia angalia macho ya kunitamani.

Wakuu namtumia mbinu gani kukachakata.

Na je wadau kukwepa msala penzi lisije kujulikana kama mtoto akijaa nitumie ma mbinu gani.

Maana babaake ni noma sana akijua msala.

@
Ushauri wa bure mdogoangu. Achana na huyo binti. Muda wako bado saaaaaana. Ila kama majaribu yakizidi, omba ghetto la mwana, mualile siku aje mkae nae mpige stori. Usimwambie utampeleka wapi. Fanya yoteee ila usisahau muda wako bado sana. Ila ni afadhali ujaribu kula kuliko maafa.
Hao Wanawake wapo tu. Utaonekana kapuku, wewe n hamsini wengi watachagua kuokota hamsini. Ila muda wako tukifika ukapata kazi yako, utapendwa na kila mwanamke, kwanza wazuri ndio utawakinai mwenyewe. Ila kwa sasa jijenge kwanza utusue. Ukifeli utakuwa kama nilivyokwambia. Soma sana...
 
Wadau nipeni ma mbinu hapa nilipoamia Kuna mtoto wa mwenye nyumba mmoja mkali kinoma cheupe Sana sasa kameanza kuniangalia angalia macho ya kunitamani.

Wakuu namtumia mbinu gani kukachakata.

Na je wadau kukwepa msala penzi lisije kujulikana kama mtoto akijaa nitumie ma mbinu gani.

Maana babaake ni noma sana akijua msala.

Tumia mbinu za Harmoniza wa Konde Gang - Mnunulie Range Rover
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom