Wale tunaolea mbinu gani ya kumfanya mtoto aache mwenyewe kunyonya?

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,412
2,000
Hii mbinu huwa tunaitumia sana kwenye ukoo wetu.

Mtoto akishafikisha mwaka 1.5 lazima aache kunyonya, Kinachofanyika anatengenezewa mlenda uliochaganywa na maziwa ya mama yake Halafu tunampatia na ugali baada ya hapo hata kuja tena kudai ziwa anyonye.
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,065
2,000
Acha kua na roho mbaya wewe dada... Mwache mtoto apate burudani yake ya kipekee.

Kwani wewe kipindi ukiwa mtoto unanyonya uliachishwa mara moja...!?
 
darts

JF-Expert Member
Jul 16, 2016
257
250
Nilisoma sehemu wamama wengi wanapaka Alovera...
Yaani siku mbili nyingi...
Sio lazima umkwaze. Cha kwanza muamishe usiwe unalala nae Kama upo Karibu Na bibi YAKE unamuacha uko wiki moja tu au mbili , au ataria watambeleza ataamka atasikia njaa atakula Na Kama kuna watoto wenzie anacheza nao pamoja baada ya wiki au mbili unaenda kumchukua huku nyonyo umeifunika Na bandegi akiona anaogopa unamwambia dudu hii ah basi mmeachana kwa AMANI. Naushari mnyonyeshe hadi miaka miwili sio vizuri kumuachisha mapema.
 
Paprika

JF-Expert Member
Feb 25, 2017
5,979

Sasa mateso yote hayo ya nini? Si bora tu umkwaze siku mbili yaishe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom