Mbinu za kulila DUBWI

Sina mood

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
213
1,327
Tumia hizi mbinu kulila DUBWI kirahisi
Unapotaka kucheza mara ya kwanza ,anza kuweka coin Moja ili ujue anaenda kuangukia mnyama gani hii itakusaidia kwa sababu wanyama mara nyingi wanajirudia

Mchezo wa pili unaofuata weka coin tatu Moja mnyama aliyepita mbili wanyama wawili wapya nenda na mfumo huo huo kwa mizunguko miwili mitatu kisha weka coin saba itakuja bonanza

Kingine jitahidi kumuweka twiga mara kwa mara maana anatokea mara nyingi zaidi ya mnyama yoyote na kila anapoonekana anakupa coin zisizopungua Tano

ukicheza mizunguko 20 muweke master win atakupa coin 25 au itaangukia luck award utapata zaidi ya elfu 20

Usipendelee kuweka token zote saba kwa mkupuo chansi ya kuliwa inakuwa kubwa sana,utanikuta unaweka token saba wanakurudishia tatu.

Weka token saba kama mizunguko imeenda zaidi ya mara tano
 
Nimeshawahi kuwa fundi wa hayo madubwi/mashine hauwezi kula pesa mpaka hilo dude lishibe kiwango maalum cha pesa Chief bila ya hivyo haupati chochote

Humo ndani kuna mfumo kama wa visahani ndio vinapokezana hizo coins so mpaka zijae ndio utaweza pata pesa ya maana

Code ni kuvizia ratiba ya wachina kuja kutoa hizo coins wewe ucheze kabla jamaa hawajaja kutoa hizo coins coz litakuwa full wewe ndio uende kulicheza

Wana akili sana hao jamaa TANZANIA serikali yetu haimuhurumii mwananchi kwani hayo madude yanambana zaidi mchezaji, uhuni tu
 
Kodi ya mwaka kwa serikali ni zaidi 1laki ujue.
 
Sawa dubwi master
Dubwi Masta akiwa anakamilisha mahesabu😆

IMG_20240105_094041.jpg
 
Back
Top Bottom