Wale tuliofanya applications Kwenye NGO’s hivi karibuni

Wale tuliofanya applications Kwenye NGO’s hivi karibuni

Endelea na shughuli zako, nakuhakikishia hautaitwa. Omba kazi serikalini mkuu, lkn NGO duh
 
Mkuu baadhi ya hizi NGO ni kichefuchefu na upuuzi mtupu. Kwa mfano mimi nilifanya application pale IMA World Health, lakini kitu cha ajabu nikapigiwa simu na mtu anayejitambulisha kama HR akaniambia wanataka maji ya kunywa, kwahiyo niwatumie laki moja ili niitwe kwenye interview. Nikaona hawa kumbe wapuuzi tu.
Hahaaa ungewaambia wakakinge kisiman daaaaah ila haya mambo bna
 
Back
Top Bottom