Eli24
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 165
- 361
Ndugu zangu wana JF habari za kazi, Poleni sana na Majukumu ya leo, Ngoja niende moja kwa moja kwenye uzi nakuja mbele zenu kwa wale tuliofanya application Kweny international non-governmental organization Kama vile AMREF, ICAP, IMA world Health, JPHIEGO, world vision, care international etc nyingineeee kibao. Swali la kiuzushi Ndugu zangu tayar mmeitwa kwenye interview hv karibuni (September)kwa hayo mashirika tajwa na kama mmeitwa wats your experiences regarding the interview and organization in general maana hata mim nmetupiamo vi application hv karibuni ndo nackilizia kama nitaitwa au la, Hebu mwagikeni hapa wengine tupate uzoefu wa kuitwa kwenye interview na international organization