Wale tuliochukua shahada zetu YOHANA UNIVERSITY njooni tuyajenga hapa

Habari za Leo wakuu,
Najua huku kuna wenzangu tuliopitia hiki chuo kikongwe Tanzania kiitwacho Yohana University.

Hebu njooni tusemezane tujikumbusheni kidogo maisha ya campus.

Prof. gani alikuzingua sana kwenye kozi work.
Namkumbuka Prof Juma Lokole akifundisha Sosho entatainimenti na Dr Taletale mkali wa Finance and Building.
 
Mteule TPDC
FB_IMG_1617606172483.jpg
 
Back
Top Bottom