wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,454
Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki.
Maisha yapo vipi ?
Maisha yapo vipi ?
Ni kweli lakini urafiki hauwezi kuwa solid kama unduguMaisha ni fresh tu.
Rafiki au mtu Baki anaweza akakufaa kuzidi hata ndugu wa damu
Una miaka mingapi kijana!Ni kweli lakini urafiki hauwezi kuwa solid kama undugu
You will never walk alone....Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki.
Maisha yapo vipi ?
Huwa unaishi kwa hakili sana sababu kosa lolote utakalo lifanya litakuhusu wewe mwenyeweUmezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki.
Maisha yapo vipi ?
MhuuuHuwa unaishi kwa hakili sana sababu kosa lolote utakalo lifanya litakuhusu wewe mwenyewe