Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

We kweli Bashite yani unasema simu ina kila kitu unaipata kwa laki 7 wakati hzo zenu za misifa ikiwa na kila kitu unaipata kwa 1m na kuendelea halafu unaponda haya endelea kununua jina

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiwauliza hio samsung ya bei kubwa ina nini kuliko hii tecno wanayoiponda hawana jibu! Atakwambia BASI TU SIIPENDI.
 
Binafsi ninaponunua simu kitu cha kwanza ni ubora na uimara wa display, je hizo tecno zina corning gorilla glass? Pia zinaonyesha vizuri maana asilimia kubwa naona vioo vyake kama vimemwagiwa maji, zinaishia kuniumiza macho tu
 
Simu ina kila kitu,inakaa na chaji, bei rafiki naiachaje na kipindi hichi cha Magu ?uzuri wake kama mimi hzo brand za misifa nishatumia sana aisee sijutii kuwa na techno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi ninaponunua simu kitu cha kwanza ni ubora na uimara wa display, je hizo tecno zina corning gorilla glass? Pia zinaonyesha vizuri maana asilimia kubwa naona vioo vyake kama vimemwagiwa maji, zinaishia kuniumiza macho tu
Hii ya kioo kumwagiwa maji nakusikia wewe. BTW sijui kiundani ufundi wa simu,ila nilichokihitaji kwenye simu nimepata kwenye hio Tecno. Sijui wangapi humu wakienda kununua simu wanauliza hio corning chimpanzee glass....:(
 
Simu ina kila kitu,inakaa na chaji, bei rafiki naiachaje na kipindi hichi cha Magu ?uzuri wake kama mimi hzo brand za misifa nishatumia sana aisee sijutii kuwa na techno

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna kitu nahitaji kwenye simu kisingekuwepo kwenye Tecno ningenunua brand ingine lakini sioni ninachokosa.
 
Hii ya kioo kumwagiwa maji nakusikia wewe. BTW sijui kiundani ufundi wa simu,ila nilichokihitaji kwenye simu nimepata kwenye hio Tecno. Sijui wangapi humu wakienda kununua simu wanauliza hio corning chimpanzee glass....:(
Mkuu, Corning gorilla glass ni protection ya kioo yaani hata ukiigonga simu kwa ncha ya kisu kwenye kioo hakiwezi ku clack kirahisi, pia kuhusu kioo kumwagiwa maji chukua tecno na simu yoyote ile iwe Nokia , samsung, n.k. Kisha angalia ipi itakuwa inaonyesha vizuri, kazini kuna jamaa huwa namshangaza ana Tecno w4 yenye camera ya Megapixel 8 na mimi nina Nokia Lumia 925 yenye Megapixel 8 ila cha ajabu simu yangu inatoa picha nzuri kuliko yake
 
Boss....nishamiliki hizo simu za top end. Kuvinjika ni rahisi sana, sio Tecno wala iphone. Infact niliamua kununua Tecno kwasababu nimeshapasua simu za bei na mwisho ilikuwa nilipopasua Tablet ambayo ilikuwa na miezi michache tu, tangu siku hio nimeapa sinunui simu ya bei mbaya as long as napata app ninazotumia.
Kwahio sioni huo u-special wa vioo kwenye hizo simu za bei ghali.
 
Itakuwa umemiliki jamii ya lumia 620 wewe, maana hiyo ndo nimeshapasua zaidi ya mara 4 mpaka nimempa dogo anatumia, baada ya hapo simu zote ninazomiliki sijawahi pasua kioo, maana mimi ndo tatizo langu lilipo kulingana na kazi zangu huwa sikawii kuvunja glass
 
Back
Top Bottom