Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

Itakuwa umemiliki jamii ya lumia 620 wewe, maana hiyo ndo nimeshapasua zaidi ya mara 4 mpaka nimempa dogo anatumia, baada ya hapo simu zote ninazomiliki sijawahi pasua kioo, maana mimi ndo tatizo langu lilipo kulingana na kazi zangu huwa sikawii kuvunja glass
Sijawahi kutumia Nokia for the last 10yrs. Ukikutana na watu wengi wenye hizo samsung s567biphoneunakuta zina cracks kama hicho unachhongea ni kweli, zisingekuwa na nyufa. Hamna smartphone yenye kioo kigumu,ukiangusha unapasua kioo unless uweke glass protector ambayo simu yoyote unaweka.
 
Unatumiaje sim haipo hta kweny top 20 za simu dunian???

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Yaani siipendi siipendi siipendi!!

Ukiniuliza sababu ntashindwa kujibu maana sina sababu yoyote ya kutoipenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu inayokusumbua mm naijua na utazidi kuichukia tecno .sababu ni uwezo mkuwa iliyonayo kwa bei ya chini .fikiria MTU unanunua simu la mil unakutana na mwenye tecno la laki 3 ila imeizidi yako ya mil kwenye kamera lazima uichukie tecno
 
Tecno oyeee acha waisome namba tecno ni ile ile tumeipenda wenyewe
 
Unatumiaje sim haipo hta kweny top 20 za simu dunian???

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Unafaidika nini kutumia simu ilio kwenye top ten duniani?
 
Unafaidika nini kutumia simu ilio kwenye top ten duniani?
Hao ndo wale wanatamani hata mzungu awapengee kamasi wapate cha kusimulia "nimegusa kamasi za mzungu bwana" stupid manki
TECNO FOR REAL
 
Sijawahi kutumia Nokia for the last 10yrs. Ukikutana na watu wengi wenye hizo samsung s567biphoneunakuta zina cracks kama hicho unachhongea ni kweli, zisingekuwa na nyufa. Hamna smartphone yenye kioo kigumu,ukiangusha unapasua kioo unless uweke glass protector ambayo simu yoyote unaweka.
Mkuu, kuhusu ugumu wa kioo sikumaanisha haipasuki,..inapasuka lakini sio kirahisi kama TECNO ambayo ikiclack kidogo tu na tachi haifanyi kazi

Pia binafsi kabla ya kununua simu naanza kuifanyia majaribio maana mpaka sasa hiyo CX na Phantom 6 nimeshazitumia
 
.....Yaani nilicho kuja kungundua humu JF watu wana pretend life sanaa, mtu anaweza kua anatumia itel kuingilia JF ila kwenye mada anawapondea wa Tecno as if yeye anatumia Iphone.

Usipokua makini JF unaweza kujidharau na kujiona huna uwelewa, huna pesa, huna gari zuri yaan inshort members wengi wa JF wanapretend maisha flani ivi Amazing.
 
Back
Top Bottom