Hisha Sorel
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 192
- 140
Kwa mtu aliesomea Highschool na degree yake ya kwanza Nje ya nchi process ya kuomba nafasi vyuo vya medicine Tanzania ikoje: please share
thanks
thanks
Unaanzia NECTA kwaajili ya kufanyiwa evaluation ya vyeti vyako ili upate equivalent results.Kwa mtu aliesomea Highschool na degree yake ya kwanza Nje ya nchi process ya kuomba nafasi vyuo vya medicine Tanzania ikoje: please share
thanks
hii process huwa inachukua mda gani brother?Unaanzia NECTA kwaajili ya kufanyiwa evaluation ya vyeti vyako ili upate equivalent results.
Baada ya hapo unaomba kama wengine kwenye chuo unachotaka.
Inategemea na huduma utakayopata huko maofini. Ila vyuoni utaomba iwapo tu dirisha la maombi limefunguliwa.hii process huwa inachukua mda gani brother?